Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

H. Beer Sheva 0 - 1 GOALMaccabi Tel Aviv







maccabi kakataa kuwa kaa leo










m
Ha ha ha........
Nljua lazima atapambana sana leo.
Sema defence yake inalega lega akiwaga away.

Kuna kipindi alwahi ongoza 0:2 dkk ya 75 nkajua nmekula.

Sikuamini nlpokuta mkeka umekua mwekundu.

Kuchungulia livescore nkakuta ubao unasomeka 4:2 FT
 
Barikiwa ajax na ov
Ajax Amsterdam vs Excelsior
Score: 2 - 1
Min: 57

Yellow to Hicham Faik
Excelsior
 
mkuu ni kwamba nishafatilia kila nikicheza tu ng lazima igome utashangaa inatokea gg. sijui nina gundu na gg
Sahv ni kuinvest sn kwny corner maana nkiendaga kule.

Over 8.5 FT inasoma 1.4-1.5
Over 4.5 FH inasoma 1.7-1.85
Over 9.5 FT inasomaga 1.7-1.9

Hapo ukiwa na timu zako 2 znazopiga sana cross na shots nje ya box humkosi muhindi mikeka 2-4 kwa siku.

Weekend (J. Pili na J. Mosi) ilyopita nlimpga muhindi mikeka 7 yenye thaman ya 552k total kupitia corner bet.
 
Barikiwa ajax na ov
Ajax Amsterdam vs Excelsior
Score: 2 - 1
Min: 57

Yellow to Hicham Faik
Excelsior
Hyo ilkua hela, kuna nlisema natiririka nao ila roho ikasita nkaacha.

Kumbe ningetoka vzur dakika za majeruhi.

Maana nlkua nshafunga hesabu zangu za bet loss n profit.
 
Hyo ilkua hela, kuna nlisema natiririka nao ila roho ikasita nkaacha.

Kumbe ningetoka vzur dakika za majeruhi.

Maana nlkua nshafunga hesabu zangu za bet loss n profit.
Keshoo nayoosiku kamandaaa...ngoja nijiangalizie za usiku tens
 
yan we acha tu me umebak wa newton tu ashinde au asuluhu na ni wa odd 3+ tu angalau nirudishe mtaji
Mi siku ya leo hata mtaj umegoma kurudi.

Nmetia stake za buku 67 n

Nmeambulia buku 32 tu mkeka mmoja tu wa single bet kwa Instanburspor.

In short leo nmechezea vitasa kutoka kwa kanji.

SINA BUDI KUSEMA SHKAMOO KANJI
 
Walemapopoo helaahiii

FIJI OV 2*5
SPORTS BOL GG

[HASHTAG]#STAKEWIFE[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…