Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acheni Mhindi aendelee kutajirika, huu ulikuwa ni bonge la mkeka!

Sikuona hata chembe ya wapi mkeka unaweza kuchanikia aisee, Chelsea! Man U! Barca! Wameushangaza uma wa mainvesta!

Ndo maana nimestaafu mpira kwa sababu hizi za maluwe luwe!

aisee bora tuelekeze nguvu kwa hockey na basketball
 
Maumivu... Lakini Mimi sikati tamaa,, ila napunguza tamaa ya kuwaz milionea kwa Mara moja,, kesho nayo siku wadau
 
Kwa Barca kama nilicheza na machale yani haka ka barnley kalikusosha mapesa walipo cheza na man cty leo napo kameninyima laki 1.haka katimu kakijinga sana
 
Baada ya jana kusumbua ulimwengu wa beting ngoja tuchek upepo wa leo kwan ni siku nayo..
Wolfsburg
real madrid
borrusia monche..
Udinese
villareal..
Kwa mbet wadau naweka 3000..
 
Mmoja wa jana huo
 

Attachments

  • 1424582926030.jpg
    54.4 KB · Views: 148
Leo pia siku jamani.
Lazima siku moja na yeye atalia.
Ipswich, Chelsea hamfai katika hii dunia.
Kuanzia leo sitampa Chelsea win hata kama anacheza na timu ya mwisho na hiyo timu wako pungufu, siiiamini tena Chelsea.
Morinho mjinga kati ya watu wote duniani
 
Wakuu tuingie vitani aisee.. Leo Nina mkeka wa wafungaji, na hockey... Siku ndo Leo kila la kheri
 
Usiwe na hasira mkuu,, mbona barca kaua, juve na Roma walituua kwa sare, PSG na man u vp... Chelsea na mourhino hawana kosa mkuu
 
huu hapa umekaaje wazee wenzangu?
 

Attachments

  • screenshot_20150222_103543.png
    4.9 KB · Views: 192
Leo naenda hv:

Bor.Monchangladbach-2
Fayenood-4
Lyon -4
Sporting Gijon-1
Vfl Wolsfsburg -4

Total odds 21

Natupia 20,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…