Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
- Thread starter
- #10,441
Acheni Mhindi aendelee kutajirika, huu ulikuwa ni bonge la mkeka!
Sikuona hata chembe ya wapi mkeka unaweza kuchanikia aisee, Chelsea! Man U! Barca! Wameushangaza uma wa mainvesta!
Ndo maana nimestaafu mpira kwa sababu hizi za maluwe luwe!
aisee bora tuelekeze nguvu kwa hockey na basketball


