Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mbarikiwe na Mbwanaaa
All the best
Screenshot_20171215-121102.png
Screenshot_20171215-121039.png
Screenshot_20171215-121033.png
Screenshot_20171215-120811.png
Screenshot_20171215-120755.png
 
Msaada,nimeweka pesa princessbet afu siioni naipataje au cjui kucheck maana niki,bet naambiwa mlungula hautoshi wakati nimetupia ila bdo tu haisomi
 
Hii mechi kuna hatar ya red card.

wanaume wa Melbourne wanaonekana wamekamia sn hii mechi.

Wanapigana viatu kama hawana akili nzuri.

FOULS 11 MPK SAHV both sides hata half time bado haijaisha.

Hongereni sana mliobet fouls, mshachekelea mapema sn leo
Screenshot_20171215-124749.png
 
Back
Top Bottom