Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
naona ya jana na leo yanataka jirudie kila mkeka timu moja mojaWazee wa tamthilia hawafai mkuu.
Told u before.
Unamaanisha 1xbet??jamani watumiaji wa xbet ukidipost fedha inawekwa baada ya dk ngapi au masaa mangapi
Jana nmekerwa sana.naona ya jana na leo yanataka jirudie kila mkeka timu moja moja
Hahaahaa 0-0kwa tahadhari chezeni dc 1x or 12. coz naona yalianza 3-0, ikaja 2-0, ikaja 1-0, leo inaweza kuwa 1-0,0-0,0-1,1-1.
log out afu log in mkuuMsaada,nimeweka pesa princessbet afu siioni naipataje au cjui kucheck maana niki,bet naambiwa mlungula hautoshi wakati nimetupia ila bdo tu haisomi
24 Sydney FC 0 - 0 Melbourne CityHahaahaa 0-0
lazio kwa nimuonavyo anakaa mbele ya atalanta
kwa mtiririko huo leo 0-0HEAD TO HEAD
Itapendeza zaid historia ikijirudia tukapige Bia fasta fasta adhuhuri hii.
View attachment 651702
Sinaga presha kabisa na Sydney.kwa mtiririko huo leo 0-0
Maana ya yes kwenye hiyo project niniHilo zigo nmelielewa mkuu p. Didy.
Najitosa mzima mzima.