kamanga2016
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 657
- 503
Both team to scoreMaana ya yes kwenye hiyo project nini
Sydney FC 0 - 1 Melbourne CityHEAD TO HEAD
Itapendeza zaid historia ikijirudia tukapige Bia fasta fasta adhuhuri hii.
View attachment 651702
hiyo game anaweza kusuluhu moja moja 1-1Sinaga presha kabisa na Sydney.
Balimi 2 tayar nmeshaagiza kabisa.
Mzee wa kazi Sydney haniangushagi.Kachomoa nasubiri Kagoli kamoja iwe over 2.5
Asante mkuuBoth team to score
mkuu embu lete tips za kueleweka tena kama za sydney.Mzee wa kazi Sydney haniangushagi.
Watoto wameuwasha moto.
2nd half wataoga goli nyingi sn.
inplay nzuri sana ilitakiwa kutia hela ya maana alipopewa odds 4 huku akiwa amepigwa 1Sydney FC 2 - 1 Melbourne City duuuh sijaelewa
Keshafanya yake Mzee wa kazi Sydneyhiyo game anaweza kusuluhu moja moja 1-1
Utaelewa tuSydney FC 2 - 1 Melbourne City duuuh sijaelewa
Hela ilkua nje nje hiiAsante mkuu
yani alipopewa odd 4 ilikuwa unatia 50000. unafunga hesabu leoHela ilkua nje nje hii
Ha ha ha......yani alipopewa odd 4 ilikuwa unatia 50000. unafunga hesabu leo
HongeraNiliwapa over 1.5 ilikuwa na odds 1.25 siyo haba