View attachment 651739ushauri maoni hapa plz
didy uxauri na maoni kabla sijaulipia huuJ
Anaigwaaaa chatatuuu sasahivi
huyo kong ni nani maana hapo mwisho kasema gem inaweza kuisha kwa 3-1 na ninaona kama inawezakutokeaBET WON
ahahahah 43000 imeingia kama faida
malbourne ndo kapigwa red na tiari yuko nyuma kwa goli 2-1hizo figisu ili watoke droo il nadhani atashinda
nilichanganya mkuumalbourne ndo kapigwa red na tiari yuko nyuma kwa goli 2-1
81 Sydney FC 2 - 1 Melbourne City
Jamaa mmoja nimemkuta twitterhuyo kong ni nani maana hapo mwisho kasema gem inaweza kuisha kwa 3-1 na ninaona kama inawezakutokea
nipe username yake au kama ana account insta au Facebook itapendezaJamaa mmoja nimemkuta twitter
Nliistukia hyoMelbourne City kapata red card
nimemvulia kofia huyo jamaahuyo kong ni nani maana hapo mwisho kasema gem inaweza kuisha kwa 3-1 na ninaona kama inawezakutokea
Jamaa ni hatari kasema hii game inaweza kuisha kwa bao 3-1 na kweli imekuwa hivyonimemvulia kofia huyo jamaa
Hao watoto wa MelbourneLilivoingia goli dakika 97 nkastuka nkajua kachomoa..maana mhindi ***** ukiona zimeongezwa nyingi ujue kuna kitu