DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Yuko vzurnimemvulia kofia huyo jamaa
Yuko vzurnimemvulia kofia huyo jamaa
leo mapema tu mkuu. timu zipo upande wetu. bila wakorea kuzingua. mpaka sasa ningekuwa nishampiaga mikeka miwili. but sio kesi asubuhi tu nisha mchapa mkeka wa odds 2+Leo kijiwe cha humu kinachangamka.
Neema zmeanza mapema leo
Watu wa hivo ni muhim sana wakikaribia huku kwny hili jikwaa.Jamaa ni hatari kasema hii game inaweza kuisha kwa bao 3-1 na kweli imekuwa hivyo
Mi nishampga mikeka 2 tayar.leo mapema tu mkuu. timu zipo upande wetu. bila wakorea kuzingua. mpaka sasa ningekuwa nishampiaga mikeka miwili. but sio kesi asubuhi tu nisha mchapa mkeka wa odds 2+
Tunarudisha mitaji yetu mkuu kabla ya weekend make siyo mtu mwema kabisaMWENYEZI MUNGI AMWEKE MHINDI PANAPOSTAHILI LEO KHA TUCHACHOKA
Wakuu naombeni ushauri,nataka nifanye sport betting kama ajira ya kudumu.
Je nianze na mtaji wa sh ngapi
Na je ni bet vipi ili huo mtaji usife.Na ipi kampuni nzuri kwa kubetia online.
Cong's mpwaaa tunasubiriii menginee tuwekeek
Hii tip imenifanya nikaitafakari upya hii mechiCode
66YWX9G
1404 Ligue 1
St. Etienne - Monaco
Tips
1-1
Odd 7.20
Mtaji anza na buku 10Wakuu naombeni ushauri,nataka nifanye sport betting kama ajira ya kudumu.
Je nianze na mtaji wa sh ngapi
Na je ni bet vipi ili huo mtaji usife.Na ipi kampuni nzuri kwa kubetia online.