Acha upotoshaji mkuuNakusahuri usifanye Bitting kama Kazi ya kukuingizia kipato cha kuishi. Ufanye uwe mchezo wa burudani. Wako wenzako waliofanya betting kama chanzo cha kuwaingizia kipato cha kuishi, Hao watu ukiwaambia waende kwenye history za accounts zao wapige hesabu ya faida na hasara hawawezi kuthubutu.
Play safe!
nakusoma mkuu nimeanza kutumia hii fomula kwa mtaji huo wa buku kumi japo sijaona faida ila sikosi mtaji wa kubetia kila sikuMtaji anza na buku 10
Uanze kwa kubet kwa kutia buku buku huku ukibet mechi 1-3 mwisho kwa mkeka mmoja.
Ukizd kumla unapandisha dau, inshallah mungu akijalia utafika kuweka laki 2-5 mkeka mmoja.
NB: usiwe na tamaa, bet kistaarabu.
Huwezi ukafanya betting kama ajira rasmi...inaweza ikawa ni sehemu ya kupata kipato cha ziada...Wakuu naombeni ushauri,nataka nifanye sport betting kama ajira ya kudumu.
Je nianze na mtaji wa sh ngapi
Na je ni bet vipi ili huo mtaji usife.Na ipi kampuni nzuri kwa kubetia online.
anashinda wanatoaa na ov 2,5Uganda - Zanzibar MPK SASA N DK 25 MATOKEO 0-1 ODDS ZILIKUWA 5 DAAH
Faida IPO!nakusoma mkuu nimeanza kutumia hii fomula kwa mtaji huo wa buku kumi japo sijaona faida ila sikosi mtaji wa kubetia kila siku
Katika kitu naogopaga huwa ni kitu.66ZFNKR
Jermain Defoe (BOU)
No
Anytime
1.19
Dominic Solanke (LIV)
No
Anytime
1.44
Marko Grujic (LIV)
No
Anytime
1.15
Kelechi Iheanacho (LEI)
No
Anytime
1.29
Brahim Diaz (MAN)
No
Anytime
1.31
Bernardo Silva (MAN)
No
Anytime
1.29
Ilkay Gundogan (MAN)
No
Anytime
1.15
Fernando Llorente (TOT)
No
Anytime
1.19
Michy Batshuayi (CHE)
No
Anytime
1.70
Cesc Fabregas (CHE)
No
Anytime
1.24
Danny Welbeck (ARS)
No
Anytime
1.60
Theo Walcott (ARS)
No
Anytime
1.35
Huo sio opotoshaji...ni ukweli huwezi fanya betting kama kazi yako yakudumu....ipo siku utaliwa mpaka mtaji hapo itakulazimu uanze na upya bora huo mtaji autumie kwa mambo mengine ila sio betting....Acha upotoshaji mkuu
mkuu DeepPond nipm nichukue namba yako maana jana ndo mimeanza kuchukua tips za humu na naona kama ukiwa na nidhamu y kubeti unaweza kuendesha maisha kwa mchezo huuFaida IPO!
Ukiwa unachungulia tips za humu mara kwa mara.
Mhindi humkosi japo ela ya balimi 3 na nyama choma kila siku
MERIDIAN BETHivi mtandao gani WA bet online unakupa double chance?