😀😀😀😀Ngoja nitafute mademu nichat nao naona kila mkeka RED
Nimepigwa ningekuwa sio mwanaume ningekuwa hospitali muda huu.😀😀😀😀
Fanya hivyo tu kama vyuma vimekaza unaweka grisi...
Mkuu umeamini nilichokuea nasema
Nimeshaplace mkuu kilichobakia maombiCardiz mkuu mpe tu 1X
Huyu Pardebon leo... Atamuacha mtu salama kweli??Ha ha ha....
Kina Sydney ndio wamenirudishia mtaji wangu.
Niko vizur sana usiku huu, ni mwendo wa kupiga pesa mkuu.
Nmehamia kwa Hitler, ni mimi na Pardebon mpaka kieleweke.
Daaah shida kweli kweli, bora ningewapa ushindi kipindi cha kwanza. Washachana wa kwanza.
View attachment 651937wazee nimeliokota tush wanajitahid try ur lucky ila io tmu iko poa nastake 5k my last coin
Budy io tmu inaitwa rodez wanacheza na consolata marseille KUNA CHANNEL WAMEIPA HT FT 1/1 INA ODD YA NNE JARIBU BAGHATI YAKODuuh sijakusoma kbs Chief ...
Umenipa mwongozo mzuri SANA thanksPole sana.
Ila kona huwa zinatoka sana hasa over 8.5
Kona uwe mnambetia Man utd, Huddersfield, Leicester na soton wakiwa either home au away.
Wape over 9.5 full time au over 4.5 first half
Liverpool mpe kona nyingi akiwa Home. Over 8.5 inamfaa sana.
Tottenham mpe kona nyingi akiwa home na anacheza na timu isiyopiga sn possession.
Maana wakikutana na timu inayoposses sana huwa hawatanui na huvizia counter attach kupitia katkat ambapo hupunguza possibility ya kona nyingi. Over 8.5 corners full time
Arsenal, man city, west ham, Liverpool (akiwa away) HAWA hawa hawafai kabisa kubet corner mana wanapenda sana kukaa na mpira na hawatumii winga kushambulia kutokea pembeni.
Note: Timu znazofaa sana kubetia kona ni zile znazotumia mfumo wa 4-4-2 au 4-4-1
Hizi za 4-5-1 au 4-3-3 (possessive) sio nzuri kabisa kwa corners
Labda km ni 4-3-3 offensive anayoitumia sana Liverpool akiwa anacheza anfield.
Angalau ata 4-2-3-1 offensive inafaa kwa kona maana anaitumia sana R. Madrid akiwa Bernabeu.
NNA IMAN KUNA KITU UMEELEWA MKUU
***** zikizngua nakublok jfWEKA MKE NYUMBA NA WATOTOO NIDAII
[emoji460]Jong FC Utrecht vs. SC Telstar
Totals: over 2.5
1.45
[emoji460]PSV Eindhoven vs. Almere City FC
Totals: over 2.5
1.41
DOUBLES
TOTAL STAKE:
$25.00
TOTAL ODDS:
2.04
POTENTIAL PAYOUT:
$51.11
Good luck
Ikishindaaa niachie mkee***** zikizngua nakublok jf
Hahahahahahahaha hahahahahahahahaha huwez kua serious...takutafutia mrefu kama mademu wa kongoIkishindaaa niachie mkee
Budy io tmu inaitwa rodez wanacheza na consolata marseille KUNA CHANNEL WAMEIPA HT FT 1/1 INA ODD YA NNE JARIBU BAGHATI YAKO
HIZO RP1/RP2 SIO KWAMBA ZINAMAANISHAView attachment 651937wazee nimeliokota tush wanajitahid try ur lucky ila io tmu iko poa nastake 5k my last coin