Ndo ivoHIZO RP1/RP2 SIO KWAMBA ZINAMAANISHA
HT/FT 1/2?
Nmeamua kubadili maamuzi, natia mkeka kule.Sina mechi uko Leo kabisa.
Zero stress
Imepita!View attachment 651907 nakaribisha ushauri na maon hapa kabla sijalipia
Ila kwa odd inakua ka imekaa 1st half /2nd halfNdo ivo
Paderborn 0 - 0 Hallescher hawa waxachanaImepita!
nauchukua kama ulivoWakuu
Kwa hz Odd 3.85
Nna uhakika kulipia kuwalipa dawasco Bill yao ya maji
***fuata nyuki ule asali***
View attachment 651950
Itapendeza zaidinauchukua kama ulivo
Dah, Muhindi kachafua gazeti.Paderborn 0 - 0 Hallescher hawa waxachana
Keep faith, club kubwa ileHuyu Pardebon leo... Atamuacha mtu salama kweli??
Ya nchi gan hii mkuu yuikague kwanzaBudy io tmu inaitwa rodez wanacheza na consolata marseille KUNA CHANNEL WAMEIPA HT FT 1/1 INA ODD YA NNE JARIBU BAGHATI YAKO
Bro naomba tuu ishinde hata kwa 1nillKeep faith, club kubwa ile
Pamoja sana mkuuUmenipa mwongozo mzuri SANA thanks
Rodez wanaongoza league ya Daraja la pili kwao wanaita National league...Budy io tmu inaitwa rodez wanacheza na consolata marseille KUNA CHANNEL WAMEIPA HT FT 1/1 INA ODD YA NNE JARIBU BAGHATI YAKO
Leo sijui walikula maharagwe ya wapi hawa wajerumani.Paderborn 0 - 0 Hallescher hawa waxachana