Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaka Umeona As Roma alichofanya na Leo... Droo ya ngapi hii!?
 
dah Roma hata acheze na coas union kapewa odd 100 simuekei.....mara 3...hapana aisee mpubavu huyu
 
WADAU
Kwanza nseme tupeane pole kwa wikiend mbaya zaid kwa jamv letu me binafsi kwa kilicho tokea jmos ilbd nijipe lkz kwa jan il kuweza kuiweka akil vzr lkn pia nisema yaliopta sindwele tugange yajayo mpira una matokeo ya kushangaza sn hvyo ucpank kwa matokeo yalio tokea itakuharbu na kukupa woga ona km klcho tokea n kawaida na muangalie mbaya wako uwenae makin.Me kuna tmu ambazo sshv huwa csubutu kbs.Roma Barca Chelse Man utd japo ndio timu yangu AC Milan PSG hawa jamaa n wakubwa lkn n mazuzu sn hasa hz timu za Italy me nazan wachezaj wanaingia uwanjan huku wamebet hvyo huwez kupata matokeo kwao.TUJIPANGE WIKI NYENGNE IMEANZA MAMBO YATAKAA SW TU.
 
Ni kweli mkubwa. Ila pia nadhani ni vema kama tungeweza kujadili na kupendekeza ligi ambazo haziangushi watu sana. Tuzikwepe hizi za Italy, France ambazo na wao wanajiuhusisha na mikeka.
 
mi nimepumzika sasa nina mwezi baada ya kupigwa za uso mda mrefu.
 
Bora kucheza online moja kwa moja kwanza ina option nyingi wewe na unaweza weka hata timu mbili au moja kutokana na mkeka wako cha muhimu tusitake mambo makubwa mwishowe kujiona huna bahati,Mimi nimejisali iplay8 casino na meridian online kila sehemu nilianza na buku mbili mbili ili kutest,matokeo yake iplay8casino Nina $15 ambapo $1 kwao saw a sawa na 1836.6 na hii nimeanza jumamosi join,ukija meridian nialinza nayo na elfu mbili now Nina 25000 kama mtaji nayo nilianza jumamosi,so ninachopenda kuwashauri tusitake hela kubwa kwa hela ndogo,ubetiji wangu huwa na bet timu yenye odd ndogo zaidi kuanzia na ninaangalia droo wamepewa ngapi pia huwa napenda kubet dk45 ni hayo tuu mdogo mdogo inawezekanaaaaaa
 
endelea kutoa mrejesho.......
 
Asante kwa ushauri, ila kuna kipindi jua hupatwa na mwezi kumbuka.
 
Wakuu.. Samahani msaada namba ya kudeposit ktk iplay8cassino
 
Ni kweli mkubwa. Ila pia nadhani ni vema kama tungeweza kujadili na kupendekeza ligi ambazo haziangushi watu sana. Tuzikwepe hizi za Italy, France ambazo na wao wanajiuhusisha na mikeka.

Kufanya mijadala n muhm lkn pia nlkuwa nazan km kungeanzishwa group la whatsp kwaajl ya hii ingekuwa bora sn mana hii inakuwa rahc zaid kuwafikia wadau weng,ntatoa ushaur huo na nataka kumpendekeza MTOTO WA NZI kuwa kiongoz mwanzilish wa hlo km ataafik.
 
Ushaur wako n mzr sn mdau hata me nlsha wah kulsemea hlo kubet onlin kuna faid zaid kulko kuchora chora
 
online nzuri sana kuna kipindi nilikuwa nacheza pale msimbazi nilikuwa natoka karibu na elf 25 kila siku sema ndo hvyo inahtji muda.kama una shughuri zngne ni nzuri.ila kama una majukumu mengine ni kazi sana labda ucheze wekendi.
 
Wakuu.. Samahani msaada namba ya kudeposit ktk iplay8cassino

Tigo dial *150*01# choose option 4 payments then choose to enter business no ambayo ni 888866 ukimaliza enter your user1d as reference,enter amount finally enter your pin no ya tigo pesa yako na usubiri SMS ya kukoconfirm kitu imejipa
 
online nzuri sana kuna kipindi nilikuwa nacheza pale msimbazi nilikuwa natoka karibu na elf 25 kila siku sema ndo hvyo inahtji muda.kama una shughuri zngne ni nzuri.ila kama una majukumu mengine ni kazi sana labda ucheze wekendi.

Hata smart phone yako yakubali kuplay online me ndio naitumia kuchezea live nk.online nzuri wapendwa unaweza chagua magoli tu ambayo ni rahisi kuliko kutabiri kushinda.option zipo nyingi kuna kutsbiri kona zitakuwa ngapi,kuna ngumu kumeza,kuna card,kuna nani atafunga goli yaani ushindwe wewe kuliko kung'ang'ania normol play kazi kwenu wadau
 
Ushauri mzuri ila hata hapa pazuri pia coz tutawanyima watu wasio na access ya whatsap kupata taarifa
 
online nzuri sana kuna kipindi nilikuwa nacheza pale msimbazi nilikuwa natoka karibu na elf 25 kila siku sema ndo hvyo inahtji muda.kama una shughuri zngne ni nzuri.ila kama una majukumu mengine ni kazi sana labda ucheze wekendi.

Mdau kuna onlin ya simu,computer, tablet au kifaa chcht knacho weza kupokea intranet hii unabet sehem yyt uliopo na kwamuda wwt utakao inapunguza usumbufu mkubwa sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…