BET WONAjaccio anashinda ila mimi nimempa win either half
hii ligi hadi raha jaman
Huyu nae ni sikio la kufa nimemwabia kwamba hii kampuni haifai eti ananiuliza kwa ninimungu wangu hama hiyo kampuni huto kula daima. kwanza option wanabana sana
mbona ulisema kil siku unamla mhindi Mbet?Jaman eeeb amna mtu awe ana nipa kla mkeka anao bet na mm. N bet ivy ivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona kama cna nyota naliwa tu daily...
tumefanana leo mpwa na mimi nixapeleka msiba wa tatuWAKUU
BET WOOOOOOON
nlkua Nawasubiri tu kina Wednesday wafunge goli moja tu 1st half.
Dkk 39, wolves anaongoza
Tayar NSHAPELEKA KILIO CHA MKEKA WA 3 KWA MUHINDI KWA SIKU YA LEO.
Hela ya kugharamia ya suti ya Xmass ya baba mkwe ishapatkana Inshallah.
BADO POCKET MONEY YA MAMA MKWE XMASS, Mapambano yanaendelea
Hongereni sana mlionifata ktk huu mkeka.
View attachment 651975
Eerste Divisie ... safi sn. Yani najikutaga naipenda Ijumaa kwa sababu yao. Yani ukimkuta Fortuna Sittard, Almere City wewe cha kufanya weka 3+ tu ...halafu subiri hela. Msimu uliopita hawa Oss nao walikuwa wanatoa 3+ dk ya 20 tu ... naona kuna kamfumo wamebadilisha skuiz sio sn.
Hawa jamaa safi sn.
Ahaha toka jana amna mech kali kali nmeliwa vbaya mno....wkend nd nd nawala kla cku..mech za la liga na eplmbona ulisema kil siku unamla mhindi Mbet?
Nitumie ipi inafaamungu wangu hama hiyo kampuni huto kula daima. kwanza option wanabana sana
tumia princessbetNitumie ipi inafaa
WAKUU
BET WOOOOOOON
nlkua Nawasubiri tu kina Wednesday wafunge goli moja tu 1st half.
Dkk 39, wolves anaongoza
Tayar NSHAPELEKA KILIO CHA MKEKA WA 3 KWA MUHINDI KWA SIKU YA LEO.
Hela ya kugharamia ya suti ya Xmass ya baba mkwe ishapatkana Inshallah.
BADO POCKET MONEY YA MAMA MKWE XMASS, Mapambano yanaendelea
Hongereni sana mlionifata ktk huu mkeka.
View attachment 651975
princess, meridian, premierNitumie ipi inafaa
Kuna watu wengine wana haiba ya kumtajirisha Muhindi.Huyu nae ni sikio la kufa nimemwabia kwamba hii kampuni haifai eti ananiuliza kwa nini
Huyo anafaa kwa win either half
Mapambano yanaendelea....tumefanana leo mpwa na mimi nixapeleka msiba wa tatu
Tip:
For the past 6 games alizocheza Sevilla, ametoa corner zaidi ya 9
Leo acha nimuamini kwa cover "over 8.5" - odd 1.48
Sio kweli, Nmedeposit pesa safi kabisa bila tatizo lolote.Leo tigo wametubania sana
Good adviceprincess, meridian, premier
uuutume na mimi niuedit kidogoMapambano yanaendelea....
Nasuka mkeka wa lala salama.
Nataka kuamshwa na mlio wa notification ya muamala kesho asbuhi.