Duh, nlishasahau kabisa kua savilla alkua na game leo.Sevilla/Levante hii sasa ni siiiiiiifa ...wanaenda HT tayari wameshapiga corners 12 ...Lol, it was worthy following this one.
halafu huwezi amin et kuna watu wapo hum wanasema wanaliwa kila siku. me siwaelewi kwa kwa kweli.Kataa kekii tuleeeView attachment 652022
Ndio nachotaka kufanya na mm, nimeweka hapa kwanza nione km nitapata ushauri ... ila nafikiri uko poa. La sivyo, tuweke hivi ...
Jong Psv Eindhoven - Almere City FC
Over 2.5 goals
1.45
FC Emmen - Jong Ajax
Over 2.5 goals
1.46
Odds: 2.12
Cadiz CF - Barcelona B FC
1/X
1.21
AS Saint Etienne - AS Monaco
X/2
1.21
Jong Psv Eindhoven - Almere City FC
Both Teams To Score - Yes
1.41
Odds: 2.06
Watakua hawako serious mkuu.halafu huwezi amin et kuna watu wapo hum wanasema wanaliwa kila siku. me siwaelewi kwa kwa kweli.
Duh, nlishasahau kabisa kua savilla alkua na game leo.
Ilkua hela nyingine hii KWNY corners.
50 GOALCadiz CF 1 - 0 Barcelona BHapa naweza kusema namsubiri Cadiz ndio aliyebeba dhamana ya 50K yangu ...sidhani km Monaco anaweza kukubali kuchomolewa goli zote 3 na kufungwa.
Cadiz plzzz !
50 GOALCadiz CF 1 - 0 Barcelona B
Kona zinapesa sana hasa weekend.Kabisa Chief ... sema niliweka corner 8.5 kujihami, hawa walifaa hata over 10 corners.
Sio mbaya hata Over 8.5 corners ilikuwa na odd nzr (1.48).
Leo muhindi kaisoma Namba.50 GOALCadiz CF 1 - 0 Barcelona B