Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utah walinitisha kwenye mechi na Houston walicheza vizuri sana japo walifungwa lakini kwa mchezo ule leo nisingethubutu kuwapa Boston
Buddy

I see ...

koncho77 naomba unisaidie username ya huyo Kong nimcheck Twitter. Anaonekana ana vitu adim sn. Huu mkeka ameuharibu Boston Celtics ...

upload_2017-12-16_8-52-39.png
 
Newcastle Jets vs
Adelaide United

KONG ANASEMA

here come a clash in Australia with
with setting in the same position in
the ligue and i do expect to see the
home side win here due to the fact
that the away side will be without
some important players in their squad due to suspension and
injuries and i do expect to see the
home side take advantage on that
and there should win with at least a
two goal deference but both of them
should score here since the home side don't have work so hard in
their deference and have receive at
least a single goal in most of their
fixtures whereas the away side
have also score at least a single
goal or two in most of their fixtures. i think 3-1 will be the final score
here. good luck
 
Mimi naanza namna hii:

Mechi ya Chelsea na soton itakua na corner over 9.5, Odd 1.58

Kwanini nasema hivo,
Katika EPL, msimu huu Timu zote mbili znatumia winga kupeleka mashambuliz kwa adui.

Pia wote wawili wanacheza sana counter attacks huku wakijaribu sana hata kwa kushoot kutokea nje ya 18.

Chelsea anawastani wa kuwin corner 6.0 kwa kila mechi, uku akiruhusu corner 4.76 kila mechi alizocheza msimu huu.

Jumla unaleta wastani wa corner 10.76 kwa kila mechi anayocheza Chelsea.

TUJE KWA SOTON,

Huyu anawastani wa kuwin corner 6.35 kila mechi, uku akiruhusu corner 4.47 kwa kila mechi alizocheza EPL msimu huu.

Jumla unaleta wastani wa corner 10.82 kwa kila mechi alyocheza Soton msimu huu.

SASA....
Ukitafuta Jumla ya wastani wa corner za Chelsea (10.76) na ukajumlisha wastani wa kona alizonazo Soton (10.82)

Then, tutapata wastani wa corner Jumla ya corner 21.58.

Mwisho,
Tutagawa hiyo Jumla kwa 2 maana leo wanaenda kukutana wao KWA wao (Head to Head)

Itakua: 21.58 ÷2 = 10.76

Kwahyo, Hapo Tutakua na uwezekano mkubwa wa kupata corner 10.76 kwny hyo mechi.

Hii kwny kubet unaweza kuweka over 10.5 corners ambayo ina odds 1.88

HITIMISHO
Nashauri ni vema zaidi kuweka Over 9.5 corners full time kwa tahadhali zaidi.

Hii ina Odds 1.58

Mwisho.
Natumai mmenielewa, Nakaribisha maoni, ushauri hata povu tu ukiona inafaa.
Vipi na nyingine chief ??
 
s

saton kpo ligi gn?
 
LG Sakers vs Seoul
Thunders

KONG ANASEMA

the away side is a good team and
have been struggling e lot to get
into the squad with both setting in
the same position in the ligue. i do
expect to see the home side win
here with at least five goals due to the fact that both have become
very defensive recently and the
home side is good at that whereas
the away side are coming here in
order to sick for revenge but i don't
think it will be easy for them due to the fact that the home side are very
strong and become more harder to
win them on this ground and i don't
think the away side can do any
thing about that but what i do think
the away side will do is to play defensively and there should be
less goals here. good luck

Nimemwahi huyu kabla hajaanza ... game inaanza saa 3 asbh hii.
 
huwa anachambua mechi moja tu kwa siku?
 
Basi nawaombeni popote mlipo nyie macelebrities wa hapa @ofisini @petu ,mara mpatapo ujumbe huu naombeni mje hapa ili mtupe huo mchango wenu wa odd 1.5-2.0,itapendeza kama mechi hazitazidi 2,thamani yenu ionesheni kwa kusupport movement hii ya maliza MUHINDI
List ni hii hapa chini ambao kwangu ndo the best
Buddy
DeepPond
koncho77
demigod
@mr.wise
troublemaker
nyegere86
Pdidy
NI TIMU YA MTU @8 mpaka hapo,ikiwa kila mmoja ataleta odds 2 basi tutapata total odd 256 na kama ikiwa odds 1.5 basi tutapata total odds 26.
we are waiting for you.
upload_2017-12-14_20-55-23.png
nimepita pita nimemuona huyo anaitwa aberdeen anatokea scotland. odd 1.73 mpe ashide kipindi chochote.

ushauri na maoni nakaribisha pia.
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Mkuu kama umesharegister, yan tayari una account ya princess bet. Fuata maelekezo aya

1.log in kwenye account yako.
2.bofya sehemu ya jina lako, nahisi sehemu iyo ni chini upande wa kulia.

3.kisha chagua deposit.
4.mwisho chagua mtandao unaotaka kudepositia.
5. Wao wenyewe watakupatia reference number pamoja na mamba ya account yako.
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Kwa tigopesa/mpesa

Lipia bill
No ya kampuni : 262222
No ya kumbukumbu: no yako ya cm unotumia kwny a/c yako princess bet
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.

Mimi mwenyewe nimejaribu kudeposit pesa yangu zaid ya Mara 3 nikiangalia kwenye account yangu ya Princessbet siioni. Labda wadau waje kutusaidia.....
 
Back
Top Bottom