Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ivi dakika moja ya basketball ni sawa na dakika ngapi za kawaida?
 
leo nataka nibet corner sijawahi kuibeti DeepPond msaada wako timu za kuzipa Corner pls
 
yes wakuu
 

Attachments

  • mechi.PNG
    mechi.PNG
    89.2 KB · Views: 42
leo nataka nibet corner sijawahi kuibeti DeepPond msaada wako timu za kuzipa Corner pls
Kuna game ya inter kule seria A. Wape Over 9.5 FT

Kuna game ya Leicester kule EPL, Wape Over 4.5 First half

Kuna game ya chelsea kule EPL, Wape over 8.5 FT

BAADA YA MECHI USISAHAU KULETA MEREJESHO.
 
Hahaha ... umenichekesha mkuu "maCelebrities" ... sawa, tip yangu hii hapa.

- For the past 8 games, Leicester City wamekuwa na corners zaidi ya 9.5 katika game 7 (ni game moja tu ya vs Man City wamekuwa na corner 8). So definitely nitampa "Over 9.5 corners" (odds 1.48). Pia nisingeona aibu kumpa "Home win either half" (odds 1.43) ... japo naamini atashinda hii game (odds 1.87).

PS: Mkuu naunga mkono hili wazo zuri sn km wadau tutaonyesha ushirikiano. Nakumbuka Mr. Wise aliwahi kuleta wazo km hili before, lkn wengi walichoose kila mtu kufa kivyake vyake (ushirikiano haukuwa mzr). Over
Naunga mkono hoja.
 
Tunakosa pesa mikeka mingi,tukikaa watu 10 au nane tukaunda mikeka mitatu tu yenye Options tofauti tofauti ambayo imesukwa kisawa sawa then tukaipost hapa naamin kila mtu atafurahia matunda ya Betting ila hii ya kupost mamikeka kibao tutakuwa tunabamizwa kila cku maana kuna wanao post bila hata kuchambua.Kuundwe timu(Kikosi kaz cha watu kadhaa)Ambao watasuka mikeka mitatu au minne ya kushba af wadau wengne wote wateleze nao ila waundaji watakuwa wakibadilika badilika hili kuondoa utegemezi
 
Simuoni Man City mkuu Deeppond... Nataka nimtathmini na spurs.
Spurs ndiye anaongoza ligi KWNY msimamo wa kona.

Muuangalie Yuko juu kabisa ya msimamo.

Na kona zake nyng kazipata hasa akiwa home.

Ila akiwa away na anacheza game natimu inayoposes mpira km arsenal, man city, chelsea au Liverpool anakua hatanui na anapiga sana pasi katikati uku akivizia counter attack

HUYO
City kwny msimamo wa kona yuko chini sana ya msimamo kwa corner yuko chini kabisa ya msimamo.

Huko yuko na wenzake kina arsenal na wengine wanaopenda kukaa sn na mpira uku wakipiga sana pasi na kupeleka mashambuliz kw adui kupitia central midffields.

USHAURI
Huyu game ya city na spurs ipe UNDER 12.5 corners full time.
 
Back
Top Bottom