Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Utah walinitisha kwenye mechi na Houston walicheza vizuri sana japo walifungwa lakini kwa mchezo ule leo nisingethubutu kuwapa Boston
Buddy


I see ...

koncho77 naomba unisaidie username ya huyo Kong nimcheck Twitter. Anaonekana ana vitu adim sn. Huu mkeka ameuharibu Boston Celtics ...

 
Newcastle Jets vs
Adelaide United

KONG ANASEMA

here come a clash in Australia with
with setting in the same position in
the ligue and i do expect to see the
home side win here due to the fact
that the away side will be without
some important players in their squad due to suspension and
injuries and i do expect to see the
home side take advantage on that
and there should win with at least a
two goal deference but both of them
should score here since the home side don't have work so hard in
their deference and have receive at
least a single goal in most of their
fixtures whereas the away side
have also score at least a single
goal or two in most of their fixtures. i think 3-1 will be the final score
here. good luck
 
Vipi na nyingine chief ??
 
s
saton kpo ligi gn?
 


Nimemwahi huyu kabla hajaanza ... game inaanza saa 3 asbh hii.
 
huwa anachambua mechi moja tu kwa siku?
 
nimepita pita nimemuona huyo anaitwa aberdeen anatokea scotland. odd 1.73 mpe ashide kipindi chochote.

ushauri na maoni nakaribisha pia.
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Mkuu kama umesharegister, yan tayari una account ya princess bet. Fuata maelekezo aya

1.log in kwenye account yako.
2.bofya sehemu ya jina lako, nahisi sehemu iyo ni chini upande wa kulia.

3.kisha chagua deposit.
4.mwisho chagua mtandao unaotaka kudepositia.
5. Wao wenyewe watakupatia reference number pamoja na mamba ya account yako.
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Kwa tigopesa/mpesa

Lipia bill
No ya kampuni : 262222
No ya kumbukumbu: no yako ya cm unotumia kwny a/c yako princess bet
 
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.
Pengine naweza kuwaudhi kwa swali hili maana lilishaulizwa huko nyuma namna ya kudeposit princess bet,mniwe radhi wakuu.

Mimi mwenyewe nimejaribu kudeposit pesa yangu zaid ya Mara 3 nikiangalia kwenye account yangu ya Princessbet siioni. Labda wadau waje kutusaidia.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…