Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Shukrani mkuu nimekupata vyema.
 
Iyo princess bet mi .nme register kla ktu lakin niki andka jina na password zna fail....nme jaribu ku reset password kwa email lakin iyo link naangalia kweny email yang bado awaja tuma
 
HAPA KAPUYANGA
 
Hapa kanisaidia
 
LG Sa


LG Sakers wametuangusha ... yani quarter nzima wanacheza vikapu 7 tu? ... hawa nao ni wase**gerema tu.

 
yani mpaka nilianza kujuta nikasema bora nungewap-a gg au 2nd half most goals
Newcastle jets katika mechi zake zote alizocheza home,

Ame toa over 2.5 kwa 90% ya mechi zote za home kwake.

Pia ametoa over 3.5 kwa 85% ya mechi zote za home kwake.

Pia ametoa over 1.5 second half kwa 98% ya mechi zote akiwa home kwake.

Ukzingatia kua mpinzani wake katoa 88% ya over 1.5 second half akiwa away.

NDO MAANA MM NKASHAWISHIKA
KUWEKA over 0.5 nkijua Piga ua garagaza lazima itatoka.

Hyo ni kwasababu wote hufunga sana 2nd half.

Na ilkua km taadhari, nkijua hata mmoja asipofunga goli

Mwenzie anawz funga goli lolote ili nile hela.

MAPAMBANO YANAENDELEA MKUU
 
mkuu hembu chambuaga na magoli mengi kwa kipindi uwe unatupia game tatu tau za hiyo option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…