Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu habarini za siku hii ya kumpiga mzungu na mhindi/mdosi...

Kiukweli nimepigika sana tena sana, lakini SIKATI TAMAA wakuu.. Leo nahisi ni siku nzuri sana, sina hela lakini nimeandaa mikeka miwili uko hivi..

Mkeka wa kwanza ni wa DOUBLE CHANCE, timu nitakazotaja hapa nazipa Draw/Win ktk gemu zao..
Norwich, Brentford, Watford, Wolverhampton, Derby, Middlesbrough, Barca, Juventus, Leeds, Preston N.E,Sheff United, Burton, Bristol Rovers, Grimsby, Forest Green.. Mkeka huu una ODDS kama 27.8 Mimi naona ni wa UHAKIKA SANA.


Mkeka wa pili ni ule wa WIN/DRAW, timu nitazozitaja hapa nazipa Win nazo ni..

Bristol Rovers, Grimsby, ForestGreen, Burton, Sheff Utd, Preston N.E, Norwich, Brentford, Leeds, Derby, Middlesbrough, Watford, Wolverhampton, Barca, na Juve... Huu Mkeka una ODDS kama 21820.57

Wakuu, hii mikeka mizuri sana kama unapenda weka kama ilivyo au UNAWEZA CHAGUA UNAYOIAMINI NA KUIBASHIRI VEMA... KILA LA KHERI WAKUUUU
 
Mkuu mkeka uko poa sana risk pekee ni hapo kwa rotherm hawa hawatabiriki wanaweza kulazimisha sare au hata wakashinda kama vp tupia mwingine uwareplace na preston.

Mi nadhani Watford leo anashinda kwasababu ukiangalia head to head games alizocheza na Rotherham united zote ameshinda.
 
Naona game nyingi kama umerisk sana swindon,iverness na hao wanaopiga na norwich toa uweke guiseley,preston na wolves pia leeds wamechange sana saiv kama game 3ivi tena ngumu wameshinda tena bila kujali wanacheza wapi.

Poa kaka Ibra ngoja naufanyia kz mda huu hlf nakuletea majibu hphp mkuu
 

Kwenye hii mikeka yako yote kwa pa1 pesa ipo lkn inatakaiwa kuchagua timu kutoka kwenye mikeka yote na kufanya kuwa m1 tu ngoja ntulze akil kuchambua vzr ntaleta mrejesho mdau.
 
Wazee wenzangu baada ya Kimya Kingi nimerudi tena,
Kwa sasa nimerudi na mipango mipya iliyo bora na ya kisasa zaidi.
nimeamua sitaki tabu, wacha mzungu anifanyie kazi na mimi nitatafuna tu.

kama upo interestead ingia hapa www.betegy.com na tumia code hii BTGIFWILBEU uweze pata predictions za Bure kabisa.

karibuni sanaa
 
Hizi code nazitumiaje boss? Au mpka nijisajili
 
Jamani nimeoteshwa leo,kazi kwenu kujilipuA
Amka milionea


[7/7]
0375 24-02 22:45:00 Rochdale-Sheff Utd
Final Score 2 2.30
0157 24-02 22:45:00 Blackburn-Norwich
Final Score 2 2.35
0345 24-02 22:45:00 Brighton-Leeds
Final Score 2 4.70
0392 24-02 22:45:00 Scunthorpe-Barnsley
Final Score 1 2.20
0360 24-02 22:45:00 Doncaster-Bristol City
Final Score 2 2.50
0395 24-02 22:45:00 Accrington-Burton
Final Score 2 2.20
0511 24-02 22:45:00 Wrexham-Forest Green
Final Score 2 2.75
------------------------------------------
Total: 3000.00
------------------------------------------
Max payout: 2535904.39
Min payout: 2535904.39
Combination count: 1
------------------------------------------
24-02 21:16:18
 
Habar waheshimiwa nimepitia mikeka mingi nimeona mmemuamini sana man city kiukweli leo man city anafungwa cap tena mkeka huko hivi wanaohitaji Barca A&2+ derby H&2+ brentford H&2+ middlesbrough H&2+ Watfotrd win ipswich Win Juventus 28+ or 《《 hiyo ni sure betts odds 95 weka 55000 kesho uamke milionea
 

Daaaa ndoto yako nimeieleewa mechi sabaa wote wa ugenini home mmoja tu all the best utoke hivo hivo ulivyoweka
 

karibu tena kibanga ulipotea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…