yakub yusuf
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 319
- 86
Halafu tulia bet online mpaka sasa meridian hakufunguki
Jarbu sshv iko ok
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu tulia bet online mpaka sasa meridian hakufunguki
Acheni upuuzi mi hapa nina gesi nshaliwa milion toka nianze kuweka mzigo afu mnaleta usenge
Hebu nkuulze mkuu kuliwa milion kwa mapenz yako mwenyewe kuna hucka vp na kuita watu ------- humu wkt hakuna hata alio kula 10 yako kwenye hyo milion??hebu jrb kujfunza usharabu kdg kutukana hazaran n kosa mkuu.
Duh yani mechi moja tu tulikua tunaamka na laki nane...mhindi tutampata tu
Watumie meseji ikiambatana na ID namba yako. pamoja na meseji za muamala kutoka vodacom. kisha wapigie simu uwaeleze watakusaidia.meridian nmedeposit hela toka juz haijaingia msaada wadau
Pengine uliandika jina badala ya kuweka number wakati unadeposit ela...ila hakijaaribika kitu wapigie huduma kwa wateja namba zao hizi hapa 0754 303 032 au 0754 303 031 watakuingizia mara mojameridian nmedeposit hela toka juz haijaingia msaada wadau
Wa...se...nge sana hawa Dunfermline yani wako home lakini walishindwa kupiga goli dahhhh....
Haina noma ngoja leo nijaribu nyingine za mapema kufikia saa mbili tumejua moja.
meridian bado inanisumbua sana option zake na sijapata wa kunielekeza, nlozoea premier betting, huku naliwa sana kiboya kwa kutokujua
tujadili huu hapa wa leo wazee
Uko poa sana.... Lakin ninashaka hapo kwenye Martino vs Trofense,, vipi umefatilia takwimu zako..!? Vinginevo Mkeka umetulia mkuu
Hata mm nina wasi wasi nae. Ngoja nimbadilishe alafu nitaleta mrejesho
tujadili huu hapa wa leo wazee