Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
tujadili huu hapa wa leo wazee
Ondoa GG ya Atletico, ni either NG au goals under 2.5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tujadili huu hapa wa leo wazee
Online leo ya meridian ni majanga au ni simu yangu tu?
Hata me inasumbua nazan n kote hii
App yao ndio inazingua lakini ukitumia browser inafanya kazi kawaida kwahyo tumia browser.
Network inazingua nataka ni upload mkeka wa sahiziYan me mpk mechi za leo con jnc walvyo nvuruga huyo na mwenzie Guiseley nlkuwa na mahesabu ya lak6 kwacku ya leo lkn dah kwel mpr hauna adabu,Naomb tu wadau kwaleo mkiweka me ntachukua
Network inazingua nataka ni upload mkeka wa sahizi
kama nilivyo ahidi.... Siku zote nauliwa na timu moja.....guiseley ananiua tena peke yake..... Wakubwa nilikuwepo...
Nine Uchukua km ulvyo bla kuongeza wal kupunguza ktu
Nine Uchukua km ulvyo bla kuongeza wal kupunguza ktu
BP ilikua juu, Nilikua
naanza kutengeneza mkeka mwingine yani mungu saidia game ya sporting
goli zimeingia dk ya 82 na 84 halafu hiyo ya madeira goli limeingia dk
ya 81 yani nimeshusha pumzi sasa.
BP ilikua juu, Nilikua naanza kutengeneza mkeka mwingine yani mungu saidia game ya sporting goli zimeingia dk ya 82 na 84 halafu hiyo ya madeira goli limeingia dk ya 81 yani nimeshusha pumzi sasa.
Duu hii michezo tunakaribisha ugonjwa wa moyo, tuombe mungu hapafinal score ya athletico ndo inanitia kiwewe japokua Liverkusen amekua chai sana siku hiziYan hyo ya sporting ilnpa kiwewe kla wakat nachek matokeo ckuamin jnc magol yalvyo ingia
mi labda nikicheza mkeka wa 2+ ndo kidogo presha inakua ndogo ktk livescore, lakini final score presha kubwa sana