Kwa toauf ya goli 2 na kuendelea.Ikitokea umempa WBA bao Moja kabla ya mechi man anatakiwa apige ngapi ili uliwe na kanji?
Nashukuru kwa somo hilo nilikuwa napita tu naenda kwenye Over na Under.Kwa toauf ya goli 2 na kuendelea.
MF 2:0 au 3:1
Shukrani mkuu ingawa nilitia stake ndogoFT
Bayern Munich 2 vs FC Augsburg 2
Bet won
Cc: @UzaziwaMpango
Sio haba kuliko kukosa kabisa....hata kama faida ni buku 4 ni kubwa kabisaShukrani mkuu ingawa nilitia stake ndogo
Andikagoogle smart tips predictWanaitwaje?
Pole sana mkuu.Ac Milan ***** zke mikeka mitatu????????????????
Yes imeniua *****
Nalala kwanza natafakari ntakula nn maana pesa ya mboga kanji kainyakua
mkuu pole yani nimeipata hiyo picha yako jinsi unavyoumia kwa kweli inaumiza, usikate tamaaAc Milan ***** zke mikeka mitatu????????????????
Yes imeniua *****
Nalala kwanza natafakari ntakula nn maana pesa ya mboga kanji kainyakua
Hata United akishainda kwa tofauti ya goli moja yani 0-1, 1-2 nk utaliwa maana game itakua imeisha drawNashukuru kwa somo hilo nilikuwa napita tu naenda kwenye Over na Under.
hahahahahahahCeltic anawatakia mchana mwema
mkuu samahani kama nitakusumbua, inakuwaje hapu United ashinde kwa tofauti ya magoli 3 wakati huyo mwingine mwingine ana goli 2Unapatia team goli kabla mechi haijachezwa, yaani unaitanguliza team uwanjani na goli zake.
Mfano hapa chini nilivyochagua maana yake nimempa WBA goli mbili kabla mechi, hii maana yake ili niliwe inabidi United ashinde kwa tofauti ya goli 3, yani United ashinde labda 0-3,1-4,2-5 nk tofauti na hapa nakua nimemla muhindi
View attachment 652988
yaani ukimpa huyp goli mbili kabla ya mechi ili man u ashinde inabidi ashinde kwa tofauti ya goli 3 ili iwe 3-2mkuu samahani kama nitakusumbua, inakuwaje hapu United ashinde kwa tofauti ya magoli 3 wakati huyo mwingine mwingine ana goli 2