Kwakweli ameamua, ameshindiliwa na tatu.....Celtic anawatakia mchana mwema
Asante sana mkuu.Unapatia team goli kabla mechi haijachezwa, yaani unaitanguliza team uwanjani na goli zake.
Mfano hapa chini nilivyochagua maana yake nimempa WBA goli mbili kabla mechi, hii maana yake ili niliwe inabidi United ashinde kwa tofauti ya goli 3, yani United ashinde labda 0-3,1-4,2-5 nk tofauti na hapa nakua nimemla muhindi
View attachment 652988
KaribuAsante sana mkuu.
Ikitokea umempa WBA bao Moja kabla ya mechi man anatakiwa apige ngapi ili uliwe na kanji?Karibu
Timu inakua imepewa magoli mawili kabla,kwahiyo hata akifungwa goli moja bila mimi nimekula..Mkuu nifundishe hii Handicap sijawahi kucheza.
Mkuu hii inamaana akishinda kwa tofauti ya goli mbili yani 0-2, 1-3 nk napo BET LOST maana atafnya mechi iwe drawAsante sana mkuu.
Hapo United akishinda kwa tofauti ya game moja yani 0-1,1-2 nk unaliwaIkitokea umempa WBA bao Moja kabla ya mechi man anatakiwa apige ngapi ili uliwe na kanji?
Asante sanaH
Hapo United akishinda kwa tofauti ya game moja yani 0-1,1-2 nk unaliwa
Shukrani sana.Timu inakua imepewa magoli mawili kabla,kwahiyo hata akifungwa goli moja bila mimi nimekula..
Wanaitwaje?UKIONA HAWAJAAA MECHI NA TIMU KUBWA AWAY WANAWAPA HME IKIMBIE KABISA ZINGINE HATA DOUBLECHANCE HAZITOIView attachment 652986
Pole chief, nami ameondoka na wangu mmoja nilihitaji goli moja tu kutoka kwa Milan ila ndio hivyo jitu zima limeshindwa kazi......Ac Milan ***** zke mikeka mitatu????????????????
Yes imeniua *****
Nalala kwanza natafakari ntakula nn maana pesa ya mboga kanji kainyakua
Unaweka timu moja mikeka mitatu..natumai siku nyingine hutorudia tenaAc Milan ***** zke mikeka mitatu????????????????
Yes imeniua *****
Nalala kwanza natafakari ntakula nn maana pesa ya mboga kanji kainyakua