salito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 1,406
- 735
Mkuu Hapa nataka nitembee na wewe kuanzia mount uliyoweka...inamaana unaweka mikeka mi4 tofauti?au huu umeweka ni mkeka mmoja??Wakuu....
Nateleza namna hyo,
Odds 2.07
Stake: 100,000 Tsh
Marejesho: 207,000Tsh
Niko serious nahitaji hela ya fuso moja ya balimi usiku wa leo.
View attachment 652958
HABAR ZA MCHANA WAKUU.
Nna shida na pesa km Laki 2 hivi.
Nnahitaj ntoke out tukapge balimi za kutosha na baba mkwe usiku wa leo.
Odds 2.33
Stake: 90,000 Tsh
Marejesho: 206,700 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 652911