Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
NIMESEMA LEII N SIKU YA BAPESAAA ABAKI MUTU CHAGUA NNE WEKA TKT KADHAA TUPEANE MUREJESHOOOOOO
INGOD WE TRUST
INGOD WE TRUST
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona kama maigizo hivi kila siku kipigo dah nataka kubadili hata Account huwenda ina mkosi.
Unataka uangalie hela zako zilizoliwa, acha utakufa kwa presha utashangaa kuna hela ya noa.Msaada,kuangalia bet history kwenye princess maana kwangu haionyeshi mkeka nilioweka zaid ya total win pekee
Mkuu nimekuPM naomba cheki.Wakuu....
Nateleza namna hyo,
Odds 2.03
Stake: 100,000 Tsh
Marejesho: 203,000Tsh
Niko serious nahitaji hela ya fuso moja ya balimi usiku wa leo.
View attachment 652958
Acha tamaa mkuuMkuu nimekufuata hapa ila tu iyo ya mwisho nimeidiverge
Asee umeongea kwa uchungu kweli kweli pole sana, ila nakumbuka cku moja nilitoa wazo hapa kua tuwe na watu kumi tunaowaamini halafu tu sort timu 20 zakutengenezewa mikeka halafu wale watu kumi wachukue kila mtu timu mbili azifanyie analysis halafu waziweke hapa ibakie kilatu achague zake atakazo wekea stak kutoka kwenye zile zilizo chambuliwa! Mtu mmoja tundo aliunga hoja mkono lkn majority wakapiga kimya, nilisema vita ya kanji sio ya peke yako yeye alikaa na watu anawalipa kutokana na hizi lost zetu wakatengeneza kitega uchumi, sisi kila mmoja anataka atoke kivyake hii tunaiita ubinafsi, na kwa mwendo huu tutaliwa sana.Bora wewe kila siku tatu mimi kuna mdada mmoja wakala kanizoea hadi nikifika naweka tu pesa kwenye Meza naondoka, kakariri hadi namba yangu Eeh Mungu nijaalie siku moja nikawithdraw [emoji17] [emoji17] [emoji17] Kila siku Kudeposti hadi wamekariri namba yangu.
Kuna wakala mmoja pia nimemkimbia kwa aibu kila siku naenda Kudeposti hata 5000 kwa siku dah wote wamekariri namba zangu, siku ikiishasijaenda Kudeposti huwenda sipo eneo lile, Imefikia hatua hadi nakwepa Mawakala nikadepost kwa mawakala Wapya.
Leo nimeenda Mara 2 jana mara 2 nikifika tena jioni hii si atasema namsumbua japo ni Biashara.
Masikini dah.
Usijali hata vile kanji hajanipiga kivileee [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Asee umeongea kwa uchungu kweli kweli pole sana, ila nakumbuka cku moja nilitoa wazo hapa kua tuwe na watu kumi tunaowaamini halafu tu sort timu 20 zakutengenezewa mikeka halafu wale watu kumi wachukue kila mtu timu mbili azifanyie analysis halafu waziweke hapa ibakie kilatu achague zake atakazo wekea stak kutoka kwenye zile zilizo chambuliwa! Mtu mmoja tundo aliunga hoja mkono lkn majority wakapiga kimya, nilisema vita ya kanji sio ya peke yako yeye alikaa na watu anawalipa kutokana na hizi lost zetu wakatengeneza kitega uchumi, sisi kila mmoja anataka atoke kivyake hii tunaiita ubinafsi, na kwa mwendo huu tutaliwa sana.
Mkuu Cheki Basi Pm yako.Acha tamaa mkuu