Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Naona kama maigizo hivi kila siku kipigo dah nataka kubadili hata Account huwenda ina mkosi.Kama ulishawahi skia losing streak ndo hiyo mkuu,kila ukijitahidi kurudisha unaliwa ukirudisha basi ela inalipa madeni tu..