Franco Dsm
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 565
- 423
Matokeo yabaki hivi nipate hela ya sikukuu nimeshachana mikeka 3 mpaka sasa kati ya mitano
Hatar sana chiefDuuh anachonifanyia huko sielewi km ... nafikiri atanifanya nisibet tena mechi za mapema ... zina nuksi sn hizi. Corners hamna, tyr keshagongwa ...yani balaa tupu.
Tengeneza mwungine chief . Pole SANADah, Leicester city leo kagoma kutoa Over 4.5
View attachment 652437
Hatar sana chief
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]******** na mkeka wa no red card umechanika [emoji32][emoji32][emoji32]
Safe option GG & 3+*Man city kufaaaa katika jina la Delle alli,harry Kane,na eriksen,kufaaaaaaaaaaaaa mbili moja tu ameeeen*[emoji23][emoji23]
Are mbwa huyu,amezidi kujifanyaa..Safe option GG & 3+
Hahahaaa game za mapema mkosi sana hiz dalili si nzuri kabisa siku ya leoNa ameshapigwa shoti ya umeme ... basi toeni hata corner sasaa ...
Ha ha ha dk5Ndio marayangu ya kwanza kuwithdraw princess,inachukua mda gani kufika kwenye simu yangu ili nimjibu shemeji yenu ni kama naenda au siendi kwenye happybirthday ya mdogo wake.