Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Kona kumi 88"
Nane InamtoshakabisaNawadai kona moja hawa leicester...nivute pumzi
Mrejeshooo mseme amjazionaa corner hizooooo
Yaaninjmosi ukiweza wekeza kwenye kona zaidiKona zimetema daaah
[emoji22] [emoji22] [emoji22] Wanaocheka chekeni mimi kila mkeka umekuwa mwekundu nilimpa GG Hockey nako wamenipa za uso narandaranda kama kunguru sasa.Leicester City vs Crystal Palace
Score: 0 - 3
Match Over!!
Ov 1,5/2,5 tuendelee kucheka Leo
Na corner's
Hata GG umeshindwa kutoa Dah Tumbo linauma sijui ninaamkaje mimi kila nachofanya ni utumbo mtupu.
Aisee nimeishiwa nguvu ila naamini hizi pesa zangu kuna siku atanipa, sema hajui ni lini.Kashindwa aseee ashachana mikeka miwili mpaka sa hv
Kama ulishawahi skia losing streak ndo hiyo mkuu,kila ukijitahidi kurudisha unaliwa ukirudisha basi ela inalipa madeni tu..[emoji22] [emoji22] [emoji22] Wanaocheka chekeni mimi kila mkeka umekuwa mwekundu nilimpa GG Hockey nako wamenipa za uso narandaranda kama kunguru sasa.