Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ndio marayangu ya kwanza kuwithdraw princess,inachukua mda gani kufika kwenye simu yangu ili nimjibu shemeji yenu ni kama naenda au siendi kwenye happybirthday ya mdogo wake.
hahahaha within five minutes mzigo tayari ila wakati mwingine mtandao unazingua, kuna siku nimechelewa daladala nimeenda kwa wakala kutoa mzigo kila nikijaribu naambiwa salio halitoshi nikakaa kama 20 minutes
 
a09a610e87faad842ec44dc42af2e636.jpg
Naona mamb co mabaya japo bado
 
Kama unabet omba sana Mungu akupe mke asiyekuudhi, Maana unaweza kuua kwa hasira za kupigwa na kanji ukuchanganya na za mwanamke.

Kazi iendelee wadau.
Na hata kama hana hasira awe piah mvumilivu maana hata wakat mwingine mood ya kumuona hamna. Tunamuwaza manji
 
Sister city huyuhuyu au ni mwingine aisee

Duuh anachonifanyia huko sielewi km ... nafikiri atanifanya nisibet tena mechi za mapema ... zina nuksi sn hizi. Corners hamna, tyr keshagongwa ...yani balaa tupu.
 
Back
Top Bottom