Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu samahani kama nitakusumbua, inakuwaje hapu United ashinde kwa tofauti ya magoli 3 wakati huyo mwingine mwingine ana goli 2
United akishinda goli mbili inakua sare UMELIWA coz ni draw, United akishinda tofauti ya goli tatu anakua ameshinda wewe UMELIWA pia
 
WAKUU....

JAMANI ITALIA RAHA SANA.

Mpk sahv MECHI ya sampdoria ina corner 8 half time.

Nawadai corner 1 tu nifunze nao hesabu
Screenshot_20171217-175638.png
 
ligi ufaransa raha sana

Kule hela nje nje na mapema sana

Olympic Lyon na PSG wananikosha sana leo.

Ni mwendo wa kutick mikeka mapema sana.
We jamaaa umenipa akili jana ...sitakusahauuu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106] [emoji106] [emoji106] much respect to uuu
 
Back
Top Bottom