Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Washanipa hela tayar hao.

Niliwapa Over 1.5

Sina presha kabisa.

Ni full vicheko leo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

DONT FORCE ANYBODY TO MAKE MNY

*MD*

*Booking Number:67HGF2C*
17/12/2017 10:25:18

Date 17/12/2017 20:45
*Barcelona - Dep. La Coruna*

Selection 2-5 Goals♻♻♻

Date 17/12/2017 15:15
*West Brom - Manchester Utd*

Selection 2DNB✅✅✅

Date 17/12/2017 14:00
*Olympiacos - PAS Giannina*

Selection 1✅✅✅

Date 17/12/2017 15:30
*KKS Lech Poznan - Termalica Bruk-Bet Nieciecza*

Selection 1✅✅✅

Date 17/12/2017 17:00
*AEK Larnaca FC - Ermis Aradippou FC*

Selection 1♻♻♻

*3.06odds*
KAMAHUJAIONA STYTUNED

Bet won

Attachments

• IMG_20171217_192939_896.JPG
IMG_20171217_192939_896.JPG
39.8 KB · Views: 35
Washanipa hela tayar hao.

Niliwapa Over 1.5

Sina presha kabisa.

Ni full vicheko leo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mkuu naona mkeka wetu bado unaenda poa...ila wa liva sijauona...hebu nisaidie na huo na mimi nichekelee.

Update......

Hawa nao kina celta vigo nna uhakika nishakula pesa.

Niliwapa under 12.5 corner full time.

Dakika 63 washapiga kona 3 tu.

Nna uhakika 1000% hawawez kufjkia kona 12 kwa Dakk zlizobaki.

Ha ha ha.....
Leo MUHINDI nampa pole sana.
Screenshot_20171217-193404.png

[HASHTAG]#WOOOOOOOOOON[/HASHTAG] [HASHTAG]#wooooooooon[/HASHTAG] DNT SPIL THE FUN
CONGS WHO TRIED
*MD*

*Booking Number:67H5LM8*
17/12/2017 09:43:05

Date 17/12/2017 15:00
*Bologna - Juventus*

Selection 2-5 Goals✅✅✅
[HASHTAG]#WOOOOON[/HASHTAG]

Date 17/12/2017 13:30
*Hearts - Celtic*
[HASHTAG]#wooooo[/HASHTAG]
Selection (3:0) 1 H✅✅✅
[HASHTAG]#woooooon[/HASHTAG]
Date 17/12/2017 14:30
*FC Utrecht - Heracles Almelo*

Selection 2-5 Goals✅✅✅
[HASHTAG]#woooooontenaa[/HASHTAG]

*2.03odds*

*Boom* *Boom* *Boom*

Update......

Hawa nao kina celta vigo nna uhakika nishakula pesa.

Niliwapa under 12.5 corner full time.

Dakika 63 washapiga kona 3 tu.

Nna uhakika 1000% hawawez kufjkia kona 12 kwa Dakk zlizobaki.

Ha ha ha.....
Leo MUHINDI nampa pole sana.

screenshot_20171217-193404-png.653075

Hongera ndo naamka jamani baada ya Milan dume zima kupigwa kijinga ***** yule
Kesho nayo ck deepPond kesho nakula na ww ckuachi

Mm mambo yangu shwari.

Sijachana mkeka wowote mpk sahv.

Mikeka yote Inapumua Oxygen safi kabisa.

Nishaagiza na balimi kabisa.

Nna uhakika wa kuingiza pesa ndefu sn leo
nasubiri huko austria watupie na huko Spain kona zisipigwe kitu ambacho nina 60% kinaweza timia

Mkuu naona mkeka wetu bado unaenda poa...ila wa liva sijauona...hebu nisaidie na huo na mimi nichekelee.
Sina hamu ya kubet tena kwa sasa.

Nna uhakika wa kuingiza pesa ndefu sn leo.

Nafunga hesabu naenda kupiga balimi za kutosha.

KAMA HUKUIONA KESHO NAYO SIKU

KGOLD

⚽Netherland
AZ Alkmaar - Ajax
Time - 14:30
Tip- 2
Odd- 2.10
Max bet
⚠KGOLD TIPS⚠
Boom!!!✅✅✅Congratulation to all winners

[HASHTAG]#wooooooooooooooon[/HASHTAG]

Ila nimegundua tatizo,sisi wenye mitaji midogo haturidhiki,unaweka buku 2/3 unaona buku 10 ndogo then tunaongeza matimu mengine ifike angalau laki
Baada ya kuliwa Leo adabu nimeishika but never give up!!

Update......

Hawa nao kina celta vigo nna uhakika nishakula pesa.

Niliwapa under 12.5 corner full time.

Dakika 63 washapiga kona 3 tu.

Nna uhakika 1000% hawawez kufjkia kona 12 kwa Dakk zlizobaki.

Ha ha ha.....
Leo MUHINDI nampa pole sana.

screenshot_20171217-193404-png.653075

Hongera ndo naamka jamani baada ya Milan dume zima kupigwa kijinga ***** yule
Kesho nayo ck deepPond kesho nakula na ww ckuachi
Ha ha ha....
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Spain.
Biashara tayar.

Agiza balimi kabisa.
Wana kona 3 tu dkk ya 70.
Kaka ningejua ningetupa hata kilo na nusu lakini si mbaya hela ya supu kesho tayari, much thanx to u bro. Naona uingereza kindagaten nao wameamua kupigana vyuma

Update....
Baada ya matokeo haya.

Tayar nishamkunja Muhindi Laki 2 ya FASTA fasta.

Bado mikeka 3.
Na yote inapumua vzur.

ATAKOMA KUNIFAHAMU LEO MUHINDI
Screenshot_20171217-195116.png

Back
Top Bottom