Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaka ningejua ningetupa hata kilo na nusu lakini si mbaya hela ya supu kesho tayari, much thanx to u bro. Naona uingereza kindagaten nao wameamua kupigana vyuma
Waache wauane tu,

Kikubwa sisi tushaingiza pesa.
 
jaman kuna mudau anayeweza kunipa utaratibu wa kufungua ofisi ya betting please anyone
 
Mwenzenu leo kazi ninayo,nilianza kubana kwa lechpoznan,nikaja kwa young boys na sasa nipo kwa csms iasi,hali jojo kwakweli
 
Yaani mkeka ukitoboa kiukweli itakuwa balaa,cms iasi nimefaulu,tyr kuna mtu huku anaitwa mdomo a.k.a bournemouth nilimpa cap ya 4 lkn tyr HT kashapigwa 3.
 
HABAR ZA MCHANA WAKUU.

Nna shida na pesa km Laki 2 hivi.

Nnahitaj ntoke out tukapge balimi za kutosha na baba mkwe usiku wa leo.

Odds 2.33

Stake: 90,000 Tsh
Marejesho: 206,700 Tsh

Mapambano yanaendelea
View attachment 652911
Update..........
Bet WOOOOOOON

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tayar nishamgara Gaza Muhindi laki 2 ya fasta fasta ktk huu mkeka.

Bado mikeka 3 nayo kila mkeka una thaman ya 200k

Nayo yote inapumua Oxygen safi kabisa.


Hongereni sana mlionifata kipind napost huu mkeka.
IMG_20171217_202006.jpg
 
[12/17, 19:59] ‪+234 816 472 9329‬: *MD*



*Booking Number:67HC3CH*
17/12/2017 10:09:30


Date 17/12/2017 14:30
*Club Brugge - RSC Anderlecht*

Selection Over1.5✅✅✅ [HASHTAG]#wooooooon[/HASHTAG]

Date 17/12/2017 15:30
*KKS Lech Poznan - Termalica Bruk-Bet Nieciecza*

Selection 1-4 Goals✅✅✅
[HASHTAG]#Awooooooooooooon[/HASHTAG]

Date 17/12/2017 16:00
*Grasshopper Club Zurich - FC Basel*

Selection Over1.5✅✅✅
[HASHTAG]#Awooooooooooooon[/HASHTAG]

Date 17/12/2017 16:00
*FC Luzern - Young Boys Bern*

Selection Over1.5✅✅✅



*2.00odds*



*Boom* *Boom* *Boom*
[12/17, 19:59] ‪+234 816 472 9329‬: *MD*
[HASHTAG]#woooooooooooooooooon[/HASHTAG]



*Booking Number:67B7PY9*
16/12/2017 12:21:36


Date 16/12/2017 17:00
*Stade Rennes - PSG*

Selection 2✅✅✅ [HASHTAG]#WOOOOOOOOON[/HASHTAG]


Date 16/12/2017 13:30
*England Premier League - 18th Round*

Selection Under 26.5✅✅✅

Date 16/12/2017 15:00
*Italy Serie A - 17th round*

Selection Under 27.5♻♻♻

[HASHTAG]#ONGOING[/HASHTAG] [HASHTAG]#woooooooooo9oooooooooooooon[/HASHTAG]
KAMAHUJAZIONA KESHONAYOSIKUU




*5.23odds*
 
Wakuu....

Nateleza namna hyo,

Odds 2.07

Stake: 100,000 Tsh
Marejesho: 207,000Tsh

Niko serious nahitaji hela ya fuso moja ya balimi usiku wa leo.
View attachment 652958
WAKUU....

NA HUU HAPA TAYAR NISHAMKUNJA MUHINDI LAKI 2 NYINGINE.

Jumla LAKI 4 Tayar kwny mikeka 2.

Bado mingine 2 nayo kila mmoja una worth ya 200K

Yote bado inapumua oxygen mubashara kabisa

Hongereni Pia mlioufuata huu

Hakika siku ya leo itakua ya vicheko sn vinywani mwenu.
IMG_20171217_202913.jpg
 
WAKUU....

NA HUU HAPA TAYAR NISHAMKUNJA MUHINDI LAKI 2 NYINGINE.

Jumla LAKI 4 Tayar kwny mikeka 2.

Bado mingine 2 nayo kila mmoja una worth ya 200K

Yote bado inapumua oxygen mubashara.

Hongereni Pia mlioufuata huu

Hakika siku ya leo itakua ya vicheko sn vinywani mwenu.
View attachment 653103

Hongera sana mkuu mm leo nlikuwa nje ya system daah hivi ndiyo narud lakiniu kesho nayo n siku naomba usitusahau

hapa hapa jukwaan
 
YOUNG BOYS OV 2" 5
Young boys GG
YOUNG BOYS WIN
Screenshot_20171217-203620.png
Screenshot_20171217-192427.png


[HASHTAG]#WOOOOOOOOOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]

GO N PICK UR WIFE BYBS N HGAL PLS
 
Back
Top Bottom