Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yan me mpk mechi za leo con jnc walvyo nvuruga huyo na mwenzie Guiseley nlkuwa na mahesabu ya lak6 kwacku ya leo lkn dah kwel mpr hauna adabu,Naomb tu wadau kwaleo mkiweka me ntachukua
Network inazingua nataka ni upload mkeka wa sahizi
 
kama nilivyo ahidi.... Siku zote nauliwa na timu moja.....guiseley ananiua tena peke yake..... Wakubwa nilikuwepo...

Aisee hiyo sio idea nzuri, mbona kupigwa ni kawaida tu.

Natafuta mtaji wakupiga odds za 2 hadi 4 kwa siku, Nikianza tutakua pamoja na kwa siku saba utakua na uhakika wa kula siku 5 mkuu.

Mbona mara nyingi mie natoboa kwa kuchambua mikeka yako?
 
Wazee nipeni link nipate meridianbet app mana hapa me nko hoi, nimeitafta sana playstore olaah!!
 
Nine Uchukua km ulvyo bla kuongeza wal kupunguza ktu

BP ilikua juu, Nilikua naanza kutengeneza mkeka mwingine yani mungu saidia game ya sporting goli zimeingia dk ya 82 na 84 halafu hiyo ya madeira goli limeingia dk ya 81 yani nimeshusha pumzi sasa.
 
BP ilikua juu, Nilikua
naanza kutengeneza mkeka mwingine yani mungu saidia game ya sporting
goli zimeingia dk ya 82 na 84 halafu hiyo ya madeira goli limeingia dk
ya 81 yani nimeshusha pumzi sasa.

mi labda nikicheza mkeka wa 2+ ndo kidogo presha inakua ndogo ktk livescore, lakini final score presha kubwa sana
 
BP ilikua juu, Nilikua naanza kutengeneza mkeka mwingine yani mungu saidia game ya sporting goli zimeingia dk ya 82 na 84 halafu hiyo ya madeira goli limeingia dk ya 81 yani nimeshusha pumzi sasa.

Yan hyo ya sporting ilnpa kiwewe kla wakat nachek matokeo ckuamin jnc magol yalvyo ingia
 
Yan hyo ya sporting ilnpa kiwewe kla wakat nachek matokeo ckuamin jnc magol yalvyo ingia
Duu hii michezo tunakaribisha ugonjwa wa moyo, tuombe mungu hapafinal score ya athletico ndo inanitia kiwewe japokua Liverkusen amekua chai sana siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…