Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tushauriane na huu wazee maana sasa hali sio nzuri
 

Attachments

  • leo.png
    5.5 KB · Views: 130
Biohazard
Mimi kwa sasa nasubiria jioni ndo nitaweka baada ya kufanya mapitio kiasi
 
Last edited by a moderator:

Mzgo huo,Naandaa mwengne kutokana na hii mlio iweka wadau nautupia mda c mrf kwaajl ya ukaguz
 
Vipi hii staili wazee inafaa?
 

Attachments

  • screenshot_20150226_112202.png
    5.1 KB · Views: 117

Haya n matokeo ya mech zlzo pita za Europa tupate muongozo mana wadau weng leo mikeka itazhusu sn timu hz
 
Root kweli aisee muda wa analysis ni mzuri pia huku tukiikumbuka kesho
 
Last edited by a moderator:
Leo wadau nnahasira sana nasuka mikeka hapa mpk mtaona wap kwakupta
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1424944102.309028.jpg
    40.5 KB · Views: 95
  • ImageUploadedByJamiiForums1424944140.901170.jpg
    39.3 KB · Views: 86
Wazee mnanitamanisha kurudi kwenye soccer! Maana mko vizuri kinoma!
 
mfano juzi niliweka sare kipindi cha kwanza kwa timu za nyumbani nkaandika 1x, ila nlipoprint nkaona imeniandikia double chance, nkakosa pesa hivi hivi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…