Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo naombeni patent right ya kucopy timu 2 tu, niweke mkeka wa Laki izae Laki.
 
Raimundo
Dynamo kiv win
Dynamo Moscow win
Hapa nmeangalia jinc mech zlzo pia ilikuwaje hao Moscow walitoka sare ya 0-0 wkt mchezaj wao mmoja alionyeshwa kad nyekundu wakiwa ugenn leo wako hom wana nafac kubwa ya kushinda.Na hao Kiv wao walfungwa 2-1 lkn wachezaj wao wawil walionyeshwa kad nyekundu na kabla hawaja tolewa hao wachezaj wawil walikuwa wanaongoza wao kwahyo leo wako na nafac kubwa pia ya kushinda.
 
Wakuu mbona meridian ina kataa kufunguka kwa both devices yaani Laptop na simu pia nimejaribu browser tofauti tofauti natumia data Internet ya Tigo line....Ushauri plz
 
Wakuu mbona meridian ina kataa kufunguka kwa both devices yaani Laptop na simu pia nimejaribu browser tofauti tofauti natumia data Internet ya Tigo line....Ushauri plz

Mkuu mm tangu juzi haifunguki kabisa au sisi huku kanda ya ziwa ndio shida
 
Leo naombeni patent right ya kucopy timu 2 tu, niweke mkeka wa Laki izae Laki.

Weka dinamo kiev win&dinamo moscow win weka elf 50 then mpe club brugge win na b juniors win elf 50.kesho unifuate pm kwa japo voucher
 
Weka dinamo kiev win&dinamo moscow win weka elf 50 then mpe club brugge win na b juniors win elf 50.kesho unifuate pm kwa japo voucher

Hapo weka
Inter win
Napol win
Club Brugge win
B juniors win weka hata 20 jibu ltakuja
 
leo nahisi kuna mkeka lazima ufiki.....hadi hizo kona pia zisitokee....mmmh mhindi leo akaroge.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…