yakub yusuf
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 319
- 86
View attachment 229934
Ukichagua timu zako 6 tu kwenye mikeka yote huo uhakika upo mkubwa
Ukichagua timu zako 6 tu kwenye mikeka yote huo uhakika upo mkubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo naombeni patent right ya kucopy timu 2 tu, niweke mkeka wa Laki izae Laki.
Hilo wazo zuri me ngoja nfkrie kwa umakn ntakupatia hlf na wadau wengne nao wachangie mawazo
Wakuu mbona meridian ina kataa kufunguka kwa both devices yaani Laptop na simu pia nimejaribu browser tofauti tofauti natumia data Internet ya Tigo line....Ushauri plz
Mkuu mm tangu juzi haifunguki kabisa au sisi huku kanda ya ziwa ndio shida
Embu tuambie unapo anza kufungua inakuaje au inakuletea nn?
Leo naombeni patent right ya kucopy timu 2 tu, niweke mkeka wa Laki izae Laki.
Muda wote inakua hivi
Naomba mnisaidia namba za head office nijaribu kuwaambia
Weka dinamo kiev win&dinamo moscow win weka elf 50 then mpe club brugge win na b juniors win elf 50.kesho unifuate pm kwa japo voucher
Mkuu mandevu naomba namba yao niwapigie please
Mkuu mm tangu juzi haifunguki kabisa au sisi huku kanda ya ziwa ndio shida