View attachment 230237
zoezi la kesho
Man U---win
Barca----win
Shakhtar-win
Benfica--win
Bristo city-win
Vasco------win
Naombeni msaada kuwithdraw pesa meridian kwa njia ya mpesa huchukua mda gani kupata manaake nime toa toka jana saa nne asubuhi but sijapata
Mkuu na barca tumtoe tena?Hebu mtoe barca muweke mwengne nchukue mkeka huo kandukamo1
Cna hamu na marsseile... Simpi tena...
Mkuu na barca tumtoe tena?
Vipi nikiongeza na hawa...
Newcastle---win
Nacional-----win
Bristol city---HT Win
Konyaspor vs Fenebache--HT Draw
Nimejaribu kuedit kisela, toa maoni yako mdau yeyote.
Mzee kumbe unatusua lkn hulet mrejesho wal huwek mkeka jamvin???
Vipi kuwapa draw 1st konyaspor vs fenerbache? kama una access ya kucheki mechi za nyumban konyaspor huwa anatokaje ili niwe sure fanya unisaidie.Huyo barca odd zake ndogo hlf anaweza aka kuua yy ukaanza kujilaum me napendaga bora aniue mwenye odd kubwa kulko mwenye ndogo,Hapo weka NACIONAL na BRISTOL city hapo nazan itakuwa poa
Hata huko pia ipo,GG maana yake n kla timu ipate gol
Vipi kuwapa draw 1st konyaspor vs fenerbache? kama una access ya kucheki mechi za nyumban konyaspor huwa anatokaje ili niwe sure fanya unisaidie.
Hivi hawa meridian unadeposit sh. ngapi kwa mara ya kwanza?
Mkuu kwenye primer betting(offline) napataje option ya gg
Haina noma mkuu, maana nimetengeneza mkeka wa namna hiyo nikapewa pesa nzuri ksela.Huyo kanyospor anashka nafac ya 14 lkn kwa mech za hom anashka nafac ya 8 hvyo akiwa hom anakuwa poa na fenerbach huwa akiwa awy anakuwa hana makal sn ushnd wake huwa wa tabu hvyo unaweza kuweka suluh HT
Haha hapana hizi ni toka jmosi iliyopita nilituasa so sikuzitoa mkuu
Hivi hawa meridian unadeposit sh. ngapi kwa mara ya kwanza?