Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naombeni msaada kuwithdraw pesa meridian kwa njia ya mpesa huchukua mda gani kupata manaake nime toa toka jana saa nne asubuhi but sijapata
 
Man U---win
Barca----win
Shakhtar-win
Benfica--win
Bristo city-win
Vasco------win
 
Mzigo wa leo huo hapo pesa ipo ukiongeza na ujuz wako pia.
Man utd win
Bristol city win
Luton win
Afc fylde win
Carpi win
Rayo vallecano win
Osasuna win
Bordeaux win
St.johnstone win
 
Cna hamu na marsseile... Simpi tena...

Wafaransa hata wenyewe hawaelewi kwanini matokeo yanakuwa hvyo.!UNAPODHANI ANASHNDA YEYE ANAFUNGWA NA UKIONA MECHI NGUMU SN KWAO YENYEWE ANATIA KATI AU YANASHNDA KABISA.mf ktk epl let say burnley v chel,chel win yake itarange btw 1.19~1.36 wkt leo lille v lyon wa 12 v 1 wa 1 ana 2pts.
Ushaur wa bure ni unapotaka kubet kwa timu yoyote iwe france league 1 or 2.weka akilini kwamba unabet kwa tm km hz ac milan,inter,dortmund,man u,tottenham,everton,simba(sory),sevilla,ath club,Roma(ths reason) etc.
 
Mkuu na barca tumtoe tena?
Vipi nikiongeza na hawa...
Newcastle---win
Nacional-----win
Bristol city---HT Win
Konyaspor vs Fenebache--HT Draw
Nimejaribu kuedit kisela, toa maoni yako mdau yeyote.

Huyo barca odd zake ndogo hlf anaweza aka kuua yy ukaanza kujilaum me napendaga bora aniue mwenye odd kubwa kulko mwenye ndogo,Hapo weka NACIONAL na BRISTOL city hapo nazan itakuwa poa
 
Huyo barca odd zake ndogo hlf anaweza aka kuua yy ukaanza kujilaum me napendaga bora aniue mwenye odd kubwa kulko mwenye ndogo,Hapo weka NACIONAL na BRISTOL city hapo nazan itakuwa poa
Vipi kuwapa draw 1st konyaspor vs fenerbache? kama una access ya kucheki mechi za nyumban konyaspor huwa anatokaje ili niwe sure fanya unisaidie.
 
Vipi kuwapa draw 1st konyaspor vs fenerbache? kama una access ya kucheki mechi za nyumban konyaspor huwa anatokaje ili niwe sure fanya unisaidie.

Huyo kanyospor anashka nafac ya 14 lkn kwa mech za hom anashka nafac ya 8 hvyo akiwa hom anakuwa poa na fenerbach huwa akiwa awy anakuwa hana makal sn ushnd wake huwa wa tabu hvyo unaweza kuweka suluh HT
 
Haina noma mkuu, maana nimetengeneza mkeka wa namna hiyo nikapewa pesa nzuri ksela.
 
mkk.JPG
 
Back
Top Bottom