Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo


MBIZA
Mkuu hlo swala me nlsha lgundua ktambo krefu sn kpnd nabet kwa muhind na kutokana na hlo juz kulkuwa na mkeka mdau alikuwa amemuweka Deby kushinda kwajnc nlvyo angalia nkamshaur kwamba hyo mech aweke doubl chan na kumpa fulham ushind kutokana na point jinc nlvyo zion cjui km alfata ushaur wangu lkn jbu lltoka km nlvyo zan na nyengne nlmshaul mdaa kuwa mech ya lile nkamwambia hapo Lile anashnda au suluhu pia nltumia kigezo cha point walzo pewa.hii huwa inatoka sn km ukiwa makn kwa baadh ya mech
 


tuudiscuss huu sasa.....kwenye mabano ni nafasi zao kwenye ligi
Tranmere Rovers (20) Vs Wycombe Wanderers (3)
Leyton Orient (21) Vs Bristol City (1)
brighton (20) Vs Derby (1)
watford (4) Vs Fulham (19)
middleaboroug (2) Vs Millwal (22)
 

Watford win
Middlesbrough win
Derby doubl chanc
Leyton orient doubl chanc 12
 

kweli kabisa mkuu na ukiwa nazo makini unapiga pesa ndefu mno
 
Wadau mbona mm nadeposit pesa kwenye account ya Meridian lakn pesa haionekani.. nlideposit tarehe 27/2/2015, jana pia nimeweka haikuonekana na leo nimeweka bado haijasoma na kila nkijaribu kufanya transaction naambiwa sina salio. Najaribu kupiga namba zao 0754303031 haipokelewi na ile ingine ndo haipatikan kabisa.. msaada wadau.
 

Hiyo inazengua jaribu ile inayoishia 32 ndiyo yauhakika
 

Nenda uwa email mkuu watakujibu me nilishinda kila nikiwithdraw hela ikawa haitoki nikawaemail mpunga ukaja sometime huwa wanajisahau ni muhimu kuwakumbusha kwa email huku ukiwatumia id no yako ya account kila la kherii
 
Jamani wazima humu?..win ticket zikowapi?sizioni ubaoni hapa
 
trabzaspor nilimkimbiA kwa nguvu zote...... mwisho wa siku nkamueka....KUMAMAMAAAAAAMAEEEEEE.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…