Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

norwich anafanywa vibaya hapa...napigwa 20000 ......mama mae......

Kanipiga pia ila huo mkeka nliweka dau dogo 5000....Man U ndo kaniliza aisee kilo 6 zmeota mbawa nlikuwa nishaanza kushangilia aisee imeniuma sana.
 
Naoьма мsaada wa kuu,kuhusu Over na Under zinakuaje hivi,maиа иiмgeni kweny betng
ya online na nicheza through iplay8casino
 
norwich anafanywa vibaya hapa...napigwa 20000 ......mama mae......

Dahh huyu k kwel yan yuko hom anapgwa na kibonde klcho poteza dira😳 nmepoteza km lk hv mikeka miwil kwaajl yake.nitamuundia bifu muda c mrefu
 
ntaKuwa mchoro wa fadhila nsposhkuru..jna mhindi kala za uso...nlivoona meridian amenipuna kanibakisha kuelkea kufilisika nkatafta elf kumi ya kuungaunga nikatia game za epl tu pke yake nkasema meridian waniache leo nkahamia mbet. iverpool,man u.,man city,chelsea,arsenal na kuongezea bathelona.....kitu hichoooo dkika 90 Ashley young anamalizia kufuma mkeka..wireeeeeee....nahisi nna kismati na mnet maana mara mwisho kueka ela nyingi pia ilikua na mbet na nilimpiga za uso....wadau siku njema
 
Wakuu nimeamka safi. Jana mwindi nimemtusua ingawa siyo nyingi.
Shukrani ziwaendee
1. Barcelona
2. Liverpool
3. Beyern
4. Wolfsburg
5. Man city
6. Monchgladbach
7. Aseno
 
msaada wadau premier betting inafixture flan hv inaitwa cross pick naomben mnisaidie kunijuza maana ya wire 1.5,2.5,3.5 alafu na kipengele cha draw no bet maana nmetoka kapa afu hvyo vipengele naona vinapoint nyng.
 

Hongera mkuu hvyo ndio tunavyo taka co klacku tuumie ce tu yy acheke
 
Wakuu nimeamka safi. Jana mwindi nimemtusua ingawa siyo nyingi.
Shukrani ziwaendee
1. Barcelona
2. Liverpool
3. Beyern
4. Wolfsburg
5. Man city
6. Monchgladbach
7. Aseno

Safi kwa kaz nzur.ila mcsahau kuiweka mikeka jamvin mkisha tengeneza il na wengne wawez kuona na kuangalia nn cha kufanya mwisho wa cku jamvi zma lkawa lnacheka tu kwa ushind
 
wakuu nimeamua kufanya hii kitu serious kidogo,kila siku naweka tim 4 1 inachana,sasa ni mwendo wa timu 1 tu na kutupia mpunga mrefu.
 
Duh! Hatimae m-bet nimewakamata ,wamekula ka buku nne kangu jana kamerudi.Vipi mbona hawatumi mzigo niendeleze game?
 
wakuu tips nyingine ya kumpiga mhindi ni tena hii ina asilimia kubwa ya kumpiga mhindi,kwenye premier betting kuna fixture iitwayo ngumu kumeza ambayo ina option 9,sasa cha kufanya hapo uhakika zaidi ni kuweka timu mbili,unaweka timu moja ambayo ni jembe ina asilimia kubwa ya kushinda mfano chelsea,madrid,barcelona au man city,unampa option kwamba ataongozo mwanzo mwisho yana half time na full time,then unatafuta game nyingine sana sana iwe ngumu,then unatengeneza mikeka tisa kama zilivyo option na kila mkeka unaiweka hiyo timu yako kubwa kuwa itaongoza mwanzo mwisho halafu na game nyingine ngumu so hizi timu mbili ukishatengeneza mikeka unakuwa unaomba timu yako kubwa ishinde mwanzo mwisho pakitiki hapo tu huku game nyingine hata matokeo yaweje we utakula tu.cha msingi ni dau ukuweka dau kubwa basi na pesa itakuwa juu,kazi kwenu wadau.
 
Duh! Hatimae m-bet nimewakamata ,wamekula ka buku nne kangu jana kamerudi.Vipi mbona hawatumi mzigo niendeleze game?

itakuja tu iskonde hua inachelewa unaeza ipata saa tisa au saa KumiKumi....ila ipo....mi biashara za kueka buku nliziacha sku nyingi....hpa nlieka buku 10 nasubidia kilo..
 

Mie mwenyewe M-BET angalau nilikuwa napiga mtonyo ila tangu nimeamia meridian na premier betting kila siku nikuishi kwa matumaini ya labda kesho lakini kesho yenyewe haiwi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…