nyegere86
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 2,215
- 3,903
Nimewapa NG coz azam ana clean sheets nyingi na stand hajafunga goal nyingiNdo imeanza ... nimewapa Under 2.5
![]()
Nimewapa NG coz azam ana clean sheets nyingi na stand hajafunga goal nyingiNdo imeanza ... nimewapa Under 2.5
![]()
Kweli aiseeee ngoja tusubr 90Stand Utd nao sio rahisi rahisi ...ila ngoja tuone.
Nimewapa NG coz azam ana clean sheets nyingi na stand hajafunga goal nyingi
Kuweka Ng nayo inataka moyoNimewapa NG coz azam ana clean sheets nyingi na stand hajafunga goal nyingi
haiwezekani..,. Haya sio makosa, ni makusudi. Yaani ligi ya tanzania, tena Azam fc kabacholi anaiweka Egypt
...sasa kwa hizi dharau za mla pilipili nimeamua kubetia hii mechi, tena naweka steki tembo.
Asante chiefAzam anaongoza moja tyr ...
Asante chief
Company gani hii yenye ligi hadi za bongo?Wanakaribia half time bado bao ni 1-0 ... waendelee hivi hivi la pili lije kupatikana dk ya 90+2 [emoji12] [emoji12] ...
![]()
mkuu kiasi flani upo sahihi kabisa, ila unajua inshu kubwa katika hii kazi ni imani wanayoijenga na mafanikio waliyoyapata watu kupitia mtu flani, kwa hiyo acha watu waonyeshe feelings...!!!!Mbona P.didy anatuma mikeka vizuri au ndo kila mtu na upepo wake naona kila mtu Deepond mjiongeze wazee sio kila mnategemea mtu fulani watu kama hawa wanapita tu mazee ni ushauri lakini
Mzee, """Wa Kusoma""" yukwapi siku hizi?Wanakaribia half time bado bao ni 1-0 ... waendelee hivi hivi la pili lije kupatikana dk ya 90+2 [emoji12] [emoji12] ...
![]()
Company gani hii yenye ligi hadi za bongo?
Wale WA racing hela hioo
- [12/29, 18:03] +91 91686 90361: A brilliant day’s Racing awaits:
Faugheen
Monalee
Ballyward
Rathvinden
Jury Duty
Someday
Let’s Dance
Karalee
Dinaria Des Obeaux
Cilaos Emery
Campeador
Lady Buttons
Shattered Love
Bon Papa
[12/29, 19:23] +91 91686 90361: Egypt
└ Al Ahly - Petrojet
└FH 0.5 Over Goals
└1.80
└Good Luck ✌
Mzee, """Wa Kusoma""" yukwapi siku hizi?
SHUKURU MUNGU UMEONAAZAMKweli aiseeee ngoja tusubr 90
Duuuh! Sawa Mzee, Pamoja sana.Anakujaga humu, kwa nadra though ...
Dhaa hao kina Milan na lazio n wazee wa kubet haoSHUKURU MUNGU UMEONAAZAM
KUNA TIMU ZA
MILLANlaziooo zinamajina ya yakiitaliano
Ungeonaa siku anaweka ungekimbia kabisa
Naona unatutonesha vidonda kijana,siamini mtu aliejitoa kutoa elimu kuweka mikeka mwisho wa siku anaonekana hafai,Huyu godzilo huyu hatutakii mema.Mbona P.didy anatuma mikeka vizuri au ndo kila mtu na upepo wake naona kila mtu Deepond mjiongeze wazee sio kila mnategemea mtu fulani watu kama hawa wanapita tu mazee ni ushauri lakini