Boss huja weka selection hapaSUPER SINGLE BET OF THE DAY
Connah's Quay Nomads vs Newi Cefn Druids AFC
ODDS 1.90
Hapa Muweke Shemeji, Pesa Hii
Jaribu hiyo super single bet, uoneNasikia kuna watu wanabeti wanakula kila siku
Ooh Over 2.5Boss huja weka selection hapa
Super single bet inakuaje apo Mzee babaJaribu hiyo super single bet, uone
Hiyo yaani, mkeka wako unakuwa na timu moja tu, unatia mzigo wa maana Kama DeeppondSuper single bet inakuaje apo Mzee baba
Okay mm nime mpa normal win apa nawasubir st mirren, connah na wigan hao wengne washapeleka salamu kwa kanjiOoh Over 2.5
Wigan win
Al ahly cairo win
Connahs win
St. Mirrens GG
Braga 2+
Kuna odds 5 apa
VP kuusu zile odds za wa nigeria mana nasikia wakikuunganisha unapiga hela ya mana ,mana wao huw wanauhakika ,au VP mkuu ulishajaribu naoHiyo yaani, mkeka wako unakuwa na timu moja tu, unatia mzigo wa maana Kama Deeppond
Safi sana mkuu, upo kwny lineOkay mm nime mpa normal win apa nawasubir st mirren, connah na wigan hao wengne washapeleka salamu kwa kanji
Wale bhana,mimi siwatumii, Bet haina uhakika au sijui sure bet, ninachofanya nafanya analysis mwenyewe. Naanza kwa kupitia jukwaa hili, google, then baadhi ya tipstersVP kuusu zile odds za wa nigeria mana nasikia wakikuunganisha unapiga hela ya mana ,mana wao huw wanauhakika ,au VP mkuu ulishajaribu nao
Unaskia ama unaona huku jukwaanNasikia kuna watu wanabeti wanakula kila siku
Mkuu buddy hii game hukuiangalia kwa jicho la pili. Azam game tano zilizopita hajafungwa goal, na stand game 5 zilizopita hajafunga goal, niliona kabisa azam anashinda hii game na anatoa clean sheet[emoji23][emoji23][emoji23] hatareee sn.
EPL naona Kama zote ztatoa mkuuNatumai kesho nitapata timu 3 kutoka ktk kila ligi hizi mbili nicheze corner (Over 8.5) ... nina shida sn na odds 4 kesho.
![]()
![]()
EPL naona Kama zote ztatoa mkuu