Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

haiwezekani..,. Haya sio makosa, ni makusudi. Yaani ligi ya tanzania, tena Azam fc kabacholi anaiweka Egypt
...sasa kwa hizi dharau za mla pilipili nimeamua kubetia hii mechi, tena naweka steki tembo.
 

Attachments

Mbona P.didy anatuma mikeka vizuri au ndo kila mtu na upepo wake naona kila mtu Deepond mjiongeze wazee sio kila mnategemea mtu fulani watu kama hawa wanapita tu mazee ni ushauri lakini
mkuu kiasi flani upo sahihi kabisa, ila unajua inshu kubwa katika hii kazi ni imani wanayoijenga na mafanikio waliyoyapata watu kupitia mtu flani, kwa hiyo acha watu waonyeshe feelings...!!!!
mimi kwangu nampenda sana DeepPond arudi kwenye jukwaa na tuendeleze gurudumu mana amakuwa na mchango mkubwa sana katika hii kazi, amekuwa mshauri na mfariji mzuri sana, mbali na mikeka anayoiweka open.
Be back braza DeepPond......!!!!
 
  1. [12/29, 18:03] ‪+91 91686 90361‬: A brilliant day’s Racing awaits:

    Faugheen
    Monalee
    Ballyward
    Rathvinden
    Jury Duty
    Someday
    Let’s Dance
    Karalee
    Dinaria Des Obeaux
    Cilaos Emery
    Campeador
    Lady Buttons
    Shattered Love
    Bon Papa
    [12/29, 19:23] ‪+91 91686 90361‬: Egypt
    └ Al Ahly - Petrojet
    └FH 0.5 Over Goals
    └1.80
    └Good Luck ✌
 
Wale WA racing hela hioo
 
SHUKURU MUNGU UMEONAAZAM

KUNA TIMU ZA

MILLANlaziooo zinamajina ya yakiitaliano

Ungeonaa siku anaweka ungekimbia kabisa
Dhaa hao kina Milan na lazio n wazee wa kubet hao
 
Mbona P.didy anatuma mikeka vizuri au ndo kila mtu na upepo wake naona kila mtu Deepond mjiongeze wazee sio kila mnategemea mtu fulani watu kama hawa wanapita tu mazee ni ushauri lakini
Naona unatutonesha vidonda kijana,siamini mtu aliejitoa kutoa elimu kuweka mikeka mwisho wa siku anaonekana hafai,Huyu godzilo huyu hatutakii mema.
DeepPond tunaomba umpuuze huyu mtu urudi kutusaidie .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…