Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna wengine kuna option zinatuchanganya
Hizi Over 1.5 .Under 2.5.Over 2.5 Tufafanulieni vizuri kwanza twende saw a
Kuuliza sio ujinga ni kutaka kuelewa hii michezo ya pesa sip kuingia kichwa kichwa tu
 
Nani atoke hapo under 1.5 first half
 
Attachments

  • IMG_20180101_150206.jpg
    IMG_20180101_150206.jpg
    44.5 KB · Views: 35
Ndugu hii option naiona kila sku hpa pricess bet lakn siielewi. Naombeni ufafanuzi
 
Attachments

  • Screenshot_2018-01-01-15-05-59.png
    Screenshot_2018-01-01-15-05-59.png
    23.1 KB · Views: 34
Heri mwaka mpya 2018 wadau. Niwatakie heri ya mwaka mpya wenye matumaini, afya njema na mafanikio tukimtanguliza Mungu mbele.

Mapambano yanaendelea. Ushauri tupunguze odds, tucheze odds 2-3, then tuongeze dau. Fanya analys ya game utakazocheza. Ukienda kutengeneza mkeka usitoke nje ya malengo uliyofanyia analyze. Sababu ni kwamba ukiingia kwenye site unakuta vitim vinakutamanisha then unaviongeza kwenye mkeka wako na ndio vinakuchania.

Leo

Leeds win
Scunthrope win
Shrewbury win.

Hapo odds zinatosha. Piga kazi
 
Kuna wengine kuna option zinatuchanganya
Hizi Over 1.5 .Under 2.5.Over 2.5 Tufafanulieni vizuri kwanza twende saw a
Kuuliza sio ujinga ni kutaka kuelewa hii michezo ya pesa sip kuingia kichwa kichwa tu
Over 1.5, magoli yafike mawili
Under 1.5 magoli yasifike mawili

Hali kadhalika

Over 2.5 magoli yafike ma3
Under 2.5 yasike ma3

Note.
Hii ni jumla ya magoli yote kwa mechi dk 90. Bila kujali nani atashindwa/kushinda
 
Heri mwaka mpya 2018 wadau. Niwatakie heri ya mwaka mpya wenye matumaini, afya njema na mafanikio tukimtanguliza Mungu mbele.

Mapambano yanaendelea. Ushauri tupunguze odds, tucheze odds 2-3, then tuongeze dau. Fanya analys ya game utakazocheza. Ukienda kutengeneza mkeka usitoke nje ya malengo uliyofanyia analyze. Sababu ni kwamba ukiingia kwenye site unakuta vitim vinakutamanisha then unaviongeza kwenye mkeka wako na ndio vinakuchania.

Leo

Leeds win
Scunthrope win
Shrewbury win.

Hapo odds zinatosha. Piga kazi
Ongeza derby
 
Over 1.5, magoli yafike mawili
Under 1.5 magoli yasifike mawili

Hali kadhalika

Over 2.5 magoli yafike ma3
Under 2.5 yasike ma3

Note.
Hii ni jumla ya magoli yote kwa mechi dk 90. Bila kujali nani atashindwa/kushinda
Heshima nyingi kwako Kiongozi nimeelewa vizuri
 
Back
Top Bottom