Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wale mnaotafuta kodi za nyumba naleta shuka la GG m-test mitambo hata kwa buku buku tu.

Principle ni moja tu kwamba wachezaji wamechoka hivyo timu ziko likely ku-concede mabao kiholela holela tu
Leta kaka..
 
In play inalipa sana ukiiotea..wakati Brighton anaongoza goli moja option ya away to score ilikua na odd 1.60 ..yaani ni mtaji tu..
 
Brighton wameshanipa conner
4 first half nawashukuru Bado wenzenu
 
Wazee wenzangu wa

INPLAY, SINGLE BET...

Let's pray for green
2018-01-01-16-16-20.jpg
 
Wakuu Happy New Year!

Nilituliza akili kama wiki 2 zilizopita na leo nimerudi kwa kuwapa Over 1.5 Bounermouth na Brighton naona Mwaka umeanza vyema sana.
 
Back
Top Bottom