Mpaka sasa ni 11, hakika zitafika 16Pole sana Mkuu kazi unayo, nacheki hii mechi kwa jinsi wanavyoshambuliana omba sana Mungu maana kona zitakua nyingi tu
Wakuu hvi humu tuna members mabinti, nataka kutoa zawadi kwao za mwaka mpya!
Timu ya ugenini isifungwe hata goli mojaHii “Clean sheet away team” kwa layman language imekaaje?
Msaada tutani wakuu.
Timu ya ugenini isifungwe hata goli moja
Zimeshapita na kupita, zimefika 14 nowHata mimi naingalia hapa nimeona niondoke tu nasubiri game yangu ya Liverpool
Man UMazee corner ndio mkomboz kwa sasa. Gemu zipi zingine zina corner nyingi ?
mkuu hii ni kampuni gani?kile unachoweza kupoteza tu ndicho uwekeView attachment 665604
Ha ha ha....Wakuu hvi humu tuna members mabinti, nataka kutoa zawadi kwao za mwaka mpya!