Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,157
- 7,822
Mkuu tupige maombi, hata mimi nilitupia hii mapema mapema inplay
Sasa hivi zimefika ngapi ?Mkuu ngoja namimi nikusindikize.
Away team , corners over 7,5
Huyu mungu wetu anakaz sanaWakati huo mimi naomba wasizidi 12....wananipa wasiwasi sana hawa jamaa
Yupo mmoja alijitambulisha juz.Wakuu hvi humu tuna members mabinti, nataka kutoa zawadi kwao za mwaka mpya!
sio shemale???Yupo mmoja alijitambulisha juz.
Pole sana Mkuu kazi unayo, nacheki hii mechi kwa jinsi wanavyoshambuliana omba sana Mungu maana kona zitakua nyingi tuWakati huo mimi naomba wasizidi 12....wananipa wasiwasi sana hawa jamaa
Sio jina hili mkuu koncho.sio shemale???
Mkuu upo Naomba nipe mawazo kuhusu mechi Ya Liverpool nataka kubet Single game.BHA kona tisa tayari
Kwa dakika nyingi hv zilizobakia unaweza pasua pumbuWakati huo mimi naomba wasizidi 12....wananipa wasiwasi sana hawa jamaa
Hata mimi naingalia hapa nimeona niondoke tu nasubiri game yangu ya LiverpoolPole sana Mkuu kazi unayo, nacheki hii mechi kwa jinsi wanavyoshambuliana omba sana Mungu maana kona zitakua nyingi tu
BTTS aka GG inawafaa hao ,ila ukitaka ku risk hata 1X unaweza jaribu hapaMkuu upo Naomba nipe mawazo kuhusu mechi Ya Liverpool nataka kubet Single game.
Vipi Corner mkuu?BTTS aka GG inawafaa hao ,ila ukitaka ku risk hata 1X unaweza jaribu hapa
Nimeona niondoke tu maana naweza pasua kwa kweliKwa dakika nyingi hv zilizobakia unaweza pasua pumbu