Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huu mchezo wa kona mbaya sana mtu unaangalia mechi ila unaiombea timu yako unayoishabikiaga chance ya kufunga goli mchezaji apige imbabatize kipa atoe nje iwe kona. Betting kazi ngumu yataka moyo haswa
Ahahaha... Mkuu umenichekesha Sana'a....maana u nataman kila saa beki abutue nje iwe kona....hatarii saana
 
Naona leo mambo sio mabaya kwa upande wa gamblers wenzangu.
MIMI BADO NIPO LIKIZO
 
Huu mchezo wa kona mbaya sana mtu unaangalia mechi ila unaiombea timu yako unayoishabikiaga chance ya kufunga goli mchezaji apige imbabatize kipa atoe nje iwe kona. Betting kazi ngumu yataka moyo haswa
hahahaahahah
 
Ha ha ha....
Umenikumbusha game moja ya Tottenham

Nlkua nakua bored sn goli linapoingia.

Huwa Natamani Kipa /beki aweze kublock shot ili iwe kona.
 
Betting pia ni moja kati ya biashara zenye mgongano wa kimaslai sana
Kweli kabisa mkuu,

Huyu anataka ushindi, yule anataka kona

Huyu anataka magoli 3+, yule anataka Cleansheet.

Huyu analalamika kanyimwa penalty, yule anataka "No player sent off"

NI BALAA TUPU
 
IMG_9559.jpg

Hii Match ya Mbeya City Vs Kagera Sugar imeahirishwa
 
Jamani nilichokuwa nakifanya leo Mungu mwenyewe anajua, ni mwendo wa kucheza na kona tu, nang'ang'ana na timu moja tu, ikibadilika na mimi nabadilika hadi nimefanikiwa kumtusua
4811bc79-2b48-4958-bd77-a40e86ba94ae.png
 
Back
Top Bottom