Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hiv (sell) yao Inamaanisha
Nn maana me nmeshindwa kuielewa
nadhani wanamaanisha uaweza kuuza huo mkeka kama unaona kunatimu itakuchania kwahiyo utawauzia kwa bei pungufu ya kiasi ulicho weka awali. ngoja nikaifuatilie vizuri
 
nadhani wanamaanisha uaweza kuuza huo mkeka kama unaona kunatimu itakuchania kwahiyo utawauzia kwa bei pungufu ya kiasi ulicho weka awali. ngoja nikaifuatilie vizuri
Dhuuuuu kama n hvo bhas Haina tofaut na
Turbo ya Mkekabet
 
Michuano ya tennis ni Ramkumar Ramanathan
dhidi ya Roberto Carballes
Baena Odds 2.23 zinazagaa zagaa kwa option ya 3 sets
 
Wazee wenzangu wa Inplay

Hii game ya lester itakua na uhaba wa kona first half.

Hudders wanacheza kwa kujihami sana.

Twenzetu tujajilipue na under 6.5 first half corner.
 
Wazee wenzangu wa Inplay

Hii game ya lester itakua na uhaba wa kona first half.

Hudders wanacheza kwa kujihami sana.

Twenzetu tujajilipue na under 6.5 first half corner.
Aiseee nmewapa over 3.5 first half
Naona kabsa nmeingia king
Wao na Liverpool washa kua wasengerema
Kwenye Conner
 
Wale wa liva under 6.5 1st half iko nje nje
a9529218c23735be7fd25cfa83175b7c.jpg
 
Back
Top Bottom