Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hii game ya leister sioni dalili za kufikisha kona 10 maana hadi halftime kona moja yataka moyo
 
Liwalo na liwe.
8e039d7649b7da8d795e6f5ad38594b1.jpg
 
Acha Tamaa ukitaka kula weka odd chache upate fedha ya uhakika jiunge na hili group Anza mwaka mpya na odd 4 za uhakika join My group 4 odd sure bet
Wenzako wanatupia hapa na tu nakula...Mambo ya kuanza kujaziana simu tena boss...Nishakua kwenye groups but sijaona manufaa yeyeote

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom